tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,318
Vyombo vya habari tokeni muende Kilwa mje na taarifa sahihi ya kilichotokea ndani ya msikiti huko Kilwa na hizo damu zilizotapakaa nini kilitokea wewe kama mwandishi tuletee taarifa na sio kusubiri taarifa za RPC za kuambiwa na askari wa chini.
Tunahitaji taarifa toka eneo husika huyo RPC yeye atatoa taarifa zake kama RPC sisi tunataka waandishi mkaongee na mashahidi wa eneo la tukio.
Otherwise nchi hii Kuna Kitu nyuma ya pazia kimejificha na ni mwaka wa 5 Sasa hakijulikani na hakuna anayetaka kukifichua Sasa kisijekikafika jukwaani nchi itawaka MOTO.