Upo uwezekano mkubwa vyombo vya habari vimepigwa mkwara mzito mno kuripoti shughuli za vyama vya upinzani

Atanandi

JF-Expert Member
Jul 16, 2023
341
482
Ni mtazamo wangu tuu, Tundu Lissu ni kiongozi mkuu ndani ya chama kikuu Cha upinzani Tanzania, Lakini chakushangaza

Kuna baadhi ya vyombo vya habari huripoti taarifa au tukio ( Breaking news ) lakini Kwa Leo sijaona

Au mfano hata Milard Ayo yeye kaamua kuachana na habari za CHADEMA..

Isharrah

One Day yes
 
Vyombo vyote vya habari vilivyokaa upande wa dhuluma vijiandae kisaikojia maana tutaformat mfumo wote wa media tuanze upya. Scrach my back I will scrach yours.
 
Ni mtazamo wangu tuu,Tundulisu ni kiongozi mkuu ndani ya chama kikuu Cha upinzani Tanzania

Lakini chakushangaza

Kuna baadhi ya vyombo vya habali hulipoti taarifa au tukio ( Breaking news ) lakin Kwa Leo sijaona

Au mfano hata mirard ayo yeye kaamua kuachana na habali za chadema..

Isharrah

One Day yes
nao wana bills to meet.
kuna maisha nje ya harakat na kupambana na mtu anayemiliki dola. Ni vile unaandika sababu hawajakufika. Hao watu ni cartels sio serikali maana hawana sifa ya serikali, wakikufika utajua hujui. Huwezi kushindana nao watakuua au wakupe umaskini
adui mkuu ni ccm.
 
Mtoa mada inaitwa "Habari" na si Habali. Pili TV kubwa ITV mbona wamepost na pia kwenye habari ya saa mbili usiku wametangaza
 
Itv waliifanya kuwa habari ya kwanza ila waliishia kusema anashikiliwa kwa mahojiano pamoja na watu wengine na hatua zaidi za kisheria zitafuata, wakaishia hapo kwa ku display picha za tundu Lissu bila kuongea. Vyombo vyetu vya habari havina uhuru wa kuripoti mambo kwa mawanda yake vinaogopa vitaadhibiwa kwa kusapoti upinzani
 
Ni mtazamo wangu tuu,Tundulisu ni kiongozi mkuu ndani ya chama kikuu Cha upinzani Tanzania

Lakini chakushangaza

Kuna baadhi ya vyombo vya habali hulipoti taarifa au tukio ( Breaking news ) lakin Kwa Leo sijaona

Au mfano hata mirard ayo yeye kaamua kuachana na habali za chadema..

Isharrah

One Day yes

= habari

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Tuna vyombo vya habari vioga kutangaza habari za wapinzani kwa kuhofia kushughulikiwa. Pamoja na uoga huo tunavijua vyombo vyenye kutaka kuripoti habari hizo ila vina hofu ya kuadhibiwa. Kuna redio na tv fulani ya kishenzi huwa inaongea uchochezi na kashfa dhidi ya dini fulani lakini hizo media za dini fulani hazijawahi kupewa onyo kuacha uchochezi wa kidini na mamlaka husika. Hiyo tv na redio yake ni za kishenzi kusikilizwa katika nchi isiyoongozwa kwa misingi ya kidini. Kwenye siasa mamlaka iko macho kodo na kugeuka kitisho kwa media huru
 
Ni mtazamo wangu tuu,Tundulisu ni kiongozi mkuu ndani ya chama kikuu Cha upinzani Tanzania

Lakini chakushangaza

Kuna baadhi ya vyombo vya habali hulipoti taarifa au tukio ( Breaking news ) lakin Kwa Leo sijaona

Au mfano hata mirard ayo yeye kaamua kuachana na habali za chadema..

Isharrah

One Day yes
Usijar mkuu jamiiforum ni zaid ya hivyo vyombo vya habar unavyovisema
 
Back
Top Bottom