Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Naunga mkono hoja.Kwa hakika ni kwamba serikali inapigana kwa namna yeyote ile kuhakikisha kua huu mswaada wa huduma za vyombo vya habari unaopigiwa kelele kila Kona ya nchi unapitishwa bungeni.
Kuna tetesi kua wabunge wa CCM wameshajipanga kutekeleza hilo kutokana na wingi wao, huu ni mswaada kandamizi ambapo vyombo vingi vya habari hapo baadae vitanyamazishwa kimya.
Sasa kweli wanahabari hiki kitu hatari kwa uhai kwenu kikipita basi mtaonesha udhaifu mkubwa sana, itaonesha kua hamjali maslahi yenu na utakua ni usaliti mkubwa sana kati yenu.
Ninyi ndio sauti ya wananchi, kupitia kalamu zenu mnao uwezo mkubwa wa kukikataa kitu.
Pasco