Vyombo vya habari kutokurusha bunge LIVE

kwa hilii uwazi na ukweli wa kupambana na mafisadi na watendaji mizigo unaohubiriwa na raisi wetu sioni kama una nia ya dhati kwa sisi wananchi kama wanabana uhuru wa kupata habari kwa wawakilishi wetu tuliowatuma bungeni kuona wanavyoisimamia serikali.
 
Ipo haja ya vyombo vyote vya habari kama tv, redio, magazeti nk kususia kuripoti habari zozote za bunge. Kazi hiyo ifanywe na tbc pekee kama watakavyo wao. Suala la kubana matumizi halina mashiko.
 
Habari za asubuhi wadau,

Ni muda mrefu sana nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa serikali mpya ya awamu ya 5 Tanzania hususani katika kusimamia haki za watanzania ikiwemo ya kupata taarifa na uhuru wa vyombo vya habari.

Kiukweli naona hoja zinapishana na sioni nguvu za wasomi wetu katika kuishauri serikali hii na kama ipo basi si ya kuzalisha matokeo chanya miaka 5 ijayo hii ni hatari sana.

Nimezipokea kwa masikitiko taarifa za kutorusha live bunge kutoka vyombo mbalimbali vya habari ambvyo vinaoperate binafsi. Na sasa watatakiwa kuchukua signals kutoka TBC ambao kwa mujibu wa taarifa nilizonazo wameanzisha studio maalum ya kurusha matangzo inayopatikana bungeni dodoma.

Lakini pia hiyo studio itarusha live sehemu/kipindi cha maswali na majibu sana. Hoja ya msingi mwanzoni ilikuwa pesa nyingi zinapotea kurusha live matangazo lakini zipo taasisi zilizotaka kufund hzo broadcasting costs still serikali inaonekna haiko interested???? Labda wanataka hizo pesa wapewe watengeneze barabara

Maoni yangu Rais magu anaonekna ni mpenda haki kwa watanzania je haoni watu kutopata taarifa za bungeni yanayojili kunadumiza haki? Na je uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vilitumika kiasi kikubwa kumcampaign na kumfanya aingie madarakani vitakuwaje? TBC ni shirika la umma ambalo kamwe haliwezi kuuma serikali kwa kufuata editoral policy walizonazo.
usichofahamu ni kuona kwamba Makufuli ni mpenda haki, hapo umejidanganya
 
umekalili wewe kazi zinafanyika asubuhi tu kuna wanaoingia usiku saa iv wako majumban wamepumzika kuna wafanya biashara hpo kwenye sehemu yake ya biashara kuna tv ,,
stats?????? hapa kazi tuu
 
Ni simple, ni wanaogopa upinzani mkali bungeni kuhusu madudu ambayo yameshajitokeza na mengine mengi yanayoelekea kuibuliwa...
 
HIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????

haya ndiyo matatizo ya utumwa. ukiwa umeajiriwa na mtu wewe ni sawa na mtumwa maana unafata anachokitaka, siyo watanzania wote watumwa kama wewe,
 
Habari za asubuhi wadau,

Ni muda mrefu sana nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa serikali mpya ya awamu ya 5 Tanzania hususani katika kusimamia haki za watanzania ikiwemo ya kupata taarifa na uhuru wa vyombo vya habari.

Kiukweli naona hoja zinapishana na sioni nguvu za wasomi wetu katika kuishauri serikali hii na kama ipo basi si ya kuzalisha matokeo chanya miaka 5 ijayo hii ni hatari sana.

Nimezipokea kwa masikitiko taarifa za kutorusha live bunge kutoka vyombo mbalimbali vya habari ambvyo vinaoperate binafsi. Na sasa watatakiwa kuchukua signals kutoka TBC ambao kwa mujibu wa taarifa nilizonazo wameanzisha studio maalum ya kurusha matangzo inayopatikana bungeni dodoma.

Lakini pia hiyo studio itarusha live sehemu/kipindi cha maswali na majibu sana. Hoja ya msingi mwanzoni ilikuwa pesa nyingi zinapotea kurusha live matangazo lakini zipo taasisi zilizotaka kufund hzo broadcasting costs still serikali inaonekna haiko interested???? Labda wanataka hizo pesa wapewe watengeneze barabara

Maoni yangu Rais magu anaonekna ni mpenda haki kwa watanzania je haoni watu kutopata taarifa za bungeni yanayojili kunadumiza haki? Na je uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vilitumika kiasi kikubwa kumcampaign na kumfanya aingie madarakani vitakuwaje? TBC ni shirika la umma ambalo kamwe haliwezi kuuma serikali kwa kufuata editoral policy walizonazo.
Moja kati ya kundi lenye nguvu kufanikisha uhuru huu ni wawakilishi wetu bungeni.

Hawa ndio watu muhimu kabisa katika hili swala na ndio wanatakiwa kulipigania ili sisi tuwe nyuma yao.

Lakini kama hao wameridhika na hili swala ni wazi hawataki tujue kinachoendelea na ni tatizo kubwa sana kwa jamii.
ambayo imekua tayari kufungua masikio na bongo zetu kupokea taarifa kwa wakati na kutafakari bila kusaidiwa kutafakari
 
haya ndiyo matatizo ya utumwa. ukiwa umeajiriwa na mtu wewe ni sawa na mtumwa maana unafata anachokitaka, siyo watanzania wote watumwa kama wewe,
Mimi nimejiajiri na ninachacharika sana tu kama watanzania wengine na jioni hujipongeza kwa moja mbili huku tukiradadi yaliyotokea bungeni asubuhi. Kazi siyo lazima uajiriwe na vile vile uelewe kuwa idleness ni nyumba ya shetani. kwa watu wa aina hiyo huwa mahodari sana kuponda wale ambao wamepiga hatua kwa kuwaita majina yasiyo stahili. Watoto wa mjini wanasema siku hazigandi. Kama wewe kazi yako ni kutembeza vidole kwenye keyboard endelea tu.
 
Back
Top Bottom