Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,534
- 32,757
huwa ninawashangaa watanzania wa aina yako mnamfanya magufuli kama malaika na akina nape kama ndio wamefanya makosa hivi Nape na nguvu gani ya kuzuia bila kuwepo na idhini ya mkuu wa nchi au bosi wake.acheni kumsingizia nape,nape ni bendera fata upepo.ungekuwa wa maana kusema anachokifanya magufuli si kizuriDa! uhuru wa vyombo vya habari bado unazidi kusiginwa! ni hatari kweli kweli ila naona raisi Magufuli hatakubali haya ya akina Nape! naona issue hapa ni kuogopa upinzani IMARA bungeni!