Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,248
...hivi ni kwa nini serikali ya hawamu ya tano imejaa hofu?...
Nimetoka kibaruani shifti ya saa 4 ucku na leo naingia saa 8 mchana hapo inakuajeHIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????
wewe nahisi umeathirika na ile tabia yako yam utotoni ya kuchungulia wapangaji bafuni wakiwa wanaoga. Nani kasema kwa vile mie nipo kazini muda huu basi wengine woooote Tanzania wasiangalie TV? Na je ni kipindi cha bunge LIVE tu ndio kinazuia watu kufanya kazi au vipindi vyote vya TV stations zote? Vipi kuhusu matangazo ya redio,pia yazimwe? Nyuchi za wapangaji ulizozichungulia utotoni zimeathiri uwezo wako wa kufikiri otherwise usingetetea upuuzi kama huu.HIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????
71% ipo, utambue hiloHIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????
Yah mwambie huyo axfikiri hii nchi wote wanaburuzwaa kama yy wengine hatujawahi kuajiriwaMwambie mkuu anafikiri wote humu ndani ni watumwa.
umekalili wewe kazi zinafanyika asubuhi tu kuna wanaoingia usiku saa iv wako majumban wamepumzika kuna wafanya biashara hpo kwenye sehemu yake ya biashara kuna tv ,,HIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????
Aaaaaah mwanzo walisema vituo binafs wataruhusiwa ila tbc kwa kuwa gharama ni kubwa itakua recorded, wajitokeza watu wakasema watatoa pesa wamegoma sasa wameamua kuzuia watu binafs pia
Kwa hili mh rais litampunguzia crédibilities kabisa
Kama hoja watu wafanye kazi kwa nini basi TV stations zinapiga kazi masaa 24?
Huyo ni juha wa cc.....Usifikiri kila mtu anafanya kazi asubuhi wengine tunafanya usiku.we vipi?