Vyombo vya habari kutokurusha bunge LIVE

Joined
Oct 15, 2013
Posts
9
Reaction score
16
Habari za asubuhi wadau,

Ni muda mrefu sana nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa serikali mpya ya awamu ya 5 Tanzania hususani katika kusimamia haki za watanzania ikiwemo ya kupata taarifa na uhuru wa vyombo vya habari.

Kiukweli naona hoja zinapishana na sioni nguvu za wasomi wetu katika kuishauri serikali hii na kama ipo basi si ya kuzalisha matokeo chanya miaka 5 ijayo hii ni hatari sana.

Nimezipokea kwa masikitiko taarifa za kutorusha live bunge kutoka vyombo mbalimbali vya habari ambvyo vinaoperate binafsi. Na sasa watatakiwa kuchukua signals kutoka TBC ambao kwa mujibu wa taarifa nilizonazo wameanzisha studio maalum ya kurusha matangzo inayopatikana bungeni dodoma.

Lakini pia hiyo studio itarusha live sehemu/kipindi cha maswali na majibu sana. Hoja ya msingi mwanzoni ilikuwa pesa nyingi zinapotea kurusha live matangazo lakini zipo taasisi zilizotaka kufund hzo broadcasting costs still serikali inaonekna haiko interested???? Labda wanataka hizo pesa wapewe watengeneze barabara

Maoni yangu Rais magu anaonekna ni mpenda haki kwa watanzania je haoni watu kutopata taarifa za bungeni yanayojili kunadumiza haki? Na je uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vilitumika kiasi kikubwa kumcampaign na kumfanya aingie madarakani vitakuwaje? TBC ni shirika la umma ambalo kamwe haliwezi kuuma serikali kwa kufuata editoral policy walizonazo.
 
Da! uhuru wa vyombo vya habari bado unazidi kusiginwa! ni hatari kweli kweli ila naona raisi Magufuli hatakubali haya ya akina Nape! naona issue hapa ni kuogopa upinzani IMARA bungeni!
 
Tuna kwenda hatua mbili mbele na kurudi kumi nyuma kisha tunajipongeza bila kuzingatia hatua nane tulizopoteza,Tbc wamekata matangazo hata hayo ya maswali na majibu wametupeleka kigamboni
 
Habari za asubuhi wadau,

Ni muda mrefu sana nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa serikali mpya ya awamu ya 5 Tanzania hususani katika kusimamia haki za watanzania ikiwemo ya kupata taarifa na uhuru wa vyombo vya habari.

Kiukweli naona hoja zinapishana na sioni nguvu za wasomi wetu katika kuishauri serikali hii na kama ipo basi si ya kuzalisha matokeo chanya miaka 5 ijayo hii ni hatari sana.

Nimezipokea kwa masikitiko taarifa za kutorusha live bunge kutoka vyombo mbalimbali vya habari ambvyo vinaoperate binafsi. Na sasa watatakiwa kuchukua signals kutoka TBC ambao kwa mujibu wa taarifa nilizonazo wameanzisha studio maalum ya kurusha matangzo inayopatikana bungeni dodoma.

Lakini pia hiyo studio itarusha live sehemu/kipindi cha maswali na majibu sana. Hoja ya msingi mwanzoni ilikuwa pesa nyingi zinapotea kurusha live matangazo lakini zipo taasisi zilizotaka kufund hzo broadcasting costs still serikali inaonekna haiko interested???? Labda wanataka hizo pesa wapewe watengeneze barabara

Maoni yangu Rais magu anaonekna ni mpenda haki kwa watanzania je haoni watu kutopata taarifa za bungeni yanayojili kunadumiza haki? Na je uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vilitumika kiasi kikubwa kumcampaign na kumfanya aingie madarakani vitakuwaje? TBC ni shirika la umma ambalo kamwe haliwezi kuuma serikali kwa kufuata editoral policy walizonazo.
HIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????
 
Tuna kwenda hatua mbili mbele na kurudi kumi nyuma kisha tunajipongeza bila kuzingatia hatua nane tulizopoteza,Tbc wamekata matangazo hata hayo ya maswali na majibu wametupeleka kigamboni

huu ni "ubwege",mwenge na kurusha matangazo ya bunge kipi kinatumia gharama kubwa?kipi kina tija kwa wananchi?
 
To be honest, hii approach sikubaliani nayo,vituo binafsi wangeruhusiwa kurusha matangazo at their own expenses.Tunahitaji kuwaona wabunge wetu wanafanya nini huko bungeni as tumechagua sisi watuwakilishe.Hii sio haki kabisa,na ninaomba wabunge wote waungane kulitetea hili.Sio watu wote wanafanya kazi during the day.Hii issue imenisikitisha sana
 
Aaaaaah mwanzo walisema vituo binafs wataruhusiwa ila tbc kwa kuwa gharama ni kubwa itakua recorded, wajitokeza watu wakasema watatoa pesa wamegoma sasa wameamua kuzuia watu binafs pia

Kwa hili mh rais litampunguzia crédibilities kabisa

Kama hoja watu wafanye kazi kwa nini basi TV stations zinapiga kazi masaa 24?
 
Hio aya ya mwisho haijibiki, wasamehe
 
Kweli mafisadi wana nguvu sana,wameweza kuzima matangazo ya bunge live?
 
HIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????
Hahahaaaaa ila mkuu yeye siyo hana kazi ya kufanya,ana wasilisha maoni yake na kusimamia haki za msingi....Any ways ngoja nisubiri hotuba ya magufuri ya uzinduzi wa daraja la kigamboni......"WABUNGE WAENDELEE NA KIKAO KIMYA KIMYA"
 
HIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????
Hauhitaji elimu ya chuo kikuu kujua haki yako ndugu kama huzjui haki zako kasome certificate ya law itakusaidia...uhuru wa taarifa ni muhimu kuliko hata kula...huwez kula kma hauna taarifa ya chakula ulacho
 
HIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????
Wewe kweli abunwasi kama ID yako ilivyo.Usidhani wote wanafanya kazi za kuajiriwa mchana kwani kuna wale wanafanya za usiku na mchana ndipo wanakuwa na muda wa kupumzika.
 
kama mtu ana ratiba yake ya maisha, kama wewe umeajiriwa endelea na ajira. Umewahi kumlisha nani mpaka uone uchungu wa watu kuangala tv asubuhi?
Mwambie mkuu anafikiri wote humu ndani ni watumwa.
 
HIVI SAA HIZI ZA ASUBUHI BADALA YA KUHANGAIKIA RIZIKI UNATAKA KUANGALIA VIPINDI VYA BUNGE????
AU HUNA KAZI ZA KUFANYA SAA HIZI????
Sio kila unayemuona humu ndani ni mtumwa, kila mmoja ana namna yake ya kuingiza kipato.
 
Maoni yangu kwa vyombo habari nikugomea kutoa habari yoyote inayohusu serikali waonyeshe msimamo wao kwa vitendo kama wananyima fursa vyombo vingine vya habari tena kwa ghara za chombo husika nasio serikali bado hawataki ni bora awamu ya nne kuliko hii mbona tunarudi nyuma
 
Back
Top Bottom