mpapamwali
Senior Member
- Dec 23, 2016
- 151
- 172
Nikimbilie wapiKimbia kabla hujakimbizwa
Tupo wengi sanaTena uzi wako huu ndio utawasaidia kuendeleza waliyopanga
Kumbe kweli mpo eeeeeh, unalo
siwezi sema hapa jukwaani, ila nitapambanaMara ya kwanza ulikwepaje!!? Tumia mbinu ile ile pengine ukawapiga chenga tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]omba uamisho ..nenda kibiti..uhakiki hautokugusa
Mtafute mganga tapeli Mtu mzitoHi to everybody, tafadhali kichwa cha uzi kinajieleza. Katika uhakiki wa kwanza nilipona sikugundulika kama nina vyeti feki.
Nimesikia uhakiki unarudiwa upya, je nifanyeje?? Ofisi naiona chungu sina amani moyoni.
Nenda kwa Bashite atakusaidia jinsi ya kukwepa kimbunga hicho.Hi to everybody, tafadhali kichwa cha uzi kinajieleza. Katika uhakiki wa kwanza nilipona sikugundulika kama nina vyeti feki.
Nimesikia uhakiki unarudiwa upya, je nifanyeje?? Ofisi naiona chungu sina amani moyoni.
Huu unahusu nini mkuu, maana leo nina mawazo sana akili imesiziHuu wa sasa hauhusu vyeti fake..
. hongera kwa kunusurika ...
Endelea kuchapa kazi
nikichoma moto nitonesha nini siku ya ukaguzi?choma moto
Kutia kiberiti vyeti itakuwa janga kubwa sana maana nitawekwa pending kwenye uhakikiVitie kiberiti tu usikamatwe na kidhibiti. Au unaweza ukachoma nyumba yako ukawaambia vimeungua na moto.