Vyeti vya form 4 vitatoka mwezi gani?

ndizi mbaya

Member
Jul 16, 2019
34
9
husika na kichwa cha habari hapo juu,
nimemaliza kidato cha nne mwaka jana,namshukuru mungu matokeo yangu ni mazuri.Nina mpango wa kwenda chuo hapo mwakani,shida niliyo nayo ni kuwa mpaka sasa sijajua vyeti vyetu vitatoka mwezi gani. wajuvi tafadhali msaada wenu
 
Naskia vipo tayar mashulen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom