Vyeti vya darasa la saba

Mhono Mrenda

Member
Oct 13, 2012
14
1
Hivi kila Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi anayekuja huwa na madiliko katika sekta ya elimu? Huyu aliyepo sijui kama amefuta utoaji wa vyeti vya darasa la saba. Kuna mwingine alikuwepo akataka watoto wawe wanaenda shule kupumzika kama siyo kulala maana alitaka kufuta masomo yote. Akianzia na somo la kilimo na biashara. Nimekumbuka hata michezo haikutakiwa, ni kulala tu.
 
Back
Top Bottom