Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,899
- 3,706
sijaona msanii kama huyu duniani,almost five
years jela lakini anakimbiza industry ya dancehall
vibaya,najua wabongo wengi hawasikilizi dancehall
lakini kama unataka kumjua huyu jamaa ni pm au
post namba zako nikuweke kwenye group
whattsapp then utapata flavour za huyu jamaa na
wasanii wengine kama popcaan,mavado,qq,tommy
lee n.k....thanks