Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
...mwanzo kwenye namba 1 hadi 2 tulikuwa pamoja lakini namba 3 na 4 nikama mawasiliano yamekatika,ebu ziweke vizuri hizo sentesi usomeke...
Hahaha, umedata.
Usisahau
6. Succumbing to family and peer pressure.
Ndoa ya mkeka yaani kulazimishwa kuoa baada ya kufumaniwa.
Wazazi tumeamua ukitaka utamuoa hukutaka utamuoa binti yule lasivyo utakosa radhi.
Wazazi tumeamua yule kijana atakuoa utake usitake lasivyo utakosa radhi, mahari tumeshapokea kabisa.
Hyo ya pili ndo tamu
Kuna ndoa iliyoanza na,
1. "Will you marry me?"
2. Nyingine hii "Nina mimba yako"
3. Kuna za mitishamb a.k.a sangoma
4. Status za kimaisha mfano Dr. GWILA,
5. Vyeo na kadhalika.....
Kama una mifano hai vyanzo vya ndoa waweza ongezea hapa...
Bila hata chembe ya upendo!!!???
Haingii akilini ati.
siku hizi 'will you mary me' utasubiri sana... ni mwendo wa kubebeshwa kwanza af ndo ustaarabu mwngine unafata...
nina mimba yako daaa hii ni common sana wengi wamepitia huku
Ndoa ya mkeka yaani kulazimishwa kuoa baada ya kufumaniwa.
Wazazi tumeamua ukitaka utamuoa hukutaka utamuoa binti yule lasivyo utakosa radhi.
Wazazi tumeamua yule kijana atakuoa utake usitake lasivyo utakosa radhi, mahari tumeshapokea kabisa.
unaonesha jinsi gan ulivyo bandidu