VYANZO VYA MAPATO VYA WAHASiBU NA DEANS WA VYUO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VYANZO VYA MAPATO VYA WAHASiBU NA DEANS WA VYUO

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mirindimo, Apr 19, 2012.

 1. mirindimo

  mirindimo JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 60
  Leo bungeni sikushangaa walipokua wanachangia taarifa za kamati kua kuna vyuo vimelipa mishahara waalimu hewa mabilioni ya pesa,serikali inapaswa kujua hicho ni chanzo cha mapato kwa baadhi ya watumishi wa vyuo hivyo na mchezo huo ni kawaida...! Kwani nani asiejua kua hostel za UDSM nazo ni chanzo cha mapato na Dean hupata kiasi cha 50000 mpaka 200000 hili liko wazi na watumishi wote wanajua ! Acheni kujifanya mnajadili na kila mwaka vinatokea hamchukui hatui yoyote ! Mjipange tuwabadilishe mnafikiri wananchi hatuoni ? Tumechoka sisi alaaaaaa
   
 2. B

  Baby shangazi Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UDOM wanaongoza kw kuchakachua! Tena mpaka hela za wanafunzi ndo ucseme
   
Loading...