Vyanzo vya mapato vya Makonda

Vyanzo vya mapato vya Makonda

Ni bilionea.Alirithi mabilioni kutoka kwa Mzee Bashite
 
Umeona Sasa hivi kila eneo Kuna my na Efd machine anakata 500 ya parking. Hata nje ya nyumba zetu watu wanachajisha parking fees. Bado machimbo ya mchanga Kuna ushuru, leseni, mkuu wa Mkoa Kuna hell nyingi zinapita mikononi mwako.

Bado wafanyabiashara " Protection money fees"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20190331-145535.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom