Vyandarua au mazalia ya mbu?

Vyandarua au mazalia ya mbu?

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,270
Reaction score
536
Haiingii akilini kuona watu waliosoma wakijaribu kughilibu wasiopata fursa ya kusoma na kutumia rasilimali za hao wasiosoma (wengi) kwa ajili ya kujitafutia umaarufu usio na maana.

Wanasema tutumie vyandarua kila tunapolala... na mimi natumia masaa machache tu kitandani!!!! Hii ni akili kweli au matope? Kinachoingia akilini ni kutumia chandarua au kuua mazalia ya mbu? Wadanganyika hamuoni kuwa huu ni mradi wa wakubwa na ndiyo maana wanaupigia sana debe? mchana wote kazini, mbu, sebuleni -mbu, chooni-mbu, jikoni -mbu, kila mahali mbu mpaka kwa wakubwa sasa ...wanapata malaria 150. Hivi angekuwa kilaza mimi si ningeshakufa?

Huu ni ujumbe kwa JK aache kutudanganya kwa maslahi yake binafsi na watoto wake.

Nawasilisha
 
Aah! Watu hawatumii vyandarua, kwani vinapunguza nguvu za kiume. Habari ndiyo hiyo!
 
vyandarua ni miradi ya serikali ya marekani na nchi yetu, kwao mbona washalimaliza hili tatizo, sisi hawatujali, ngoja huyu Zitto augue kwanza alafu waone kuwa marelia haikubaliki , mbu ni uchafu kwani anaishi kwenye machaka na sehemu zenye taka zenye maji maji wadudu hawa ni raisi kuwaondoa ikiwa serikali iko makini, mjooni niwape dawa ya MSHANA hamtapata tena Maralia miaka 5. inazidi ya INDIA nilishangaa kuona kampuni moja kuzunguka na gari dogo na mashie eti wananyuzia, kazi ya kunyunyizia dawa ya kuua mbu iipashwa serikali ikodi ndege kutokasouth au kwingineko watu watangaziwe siku ya kunyunyizia dawa waanze na mito kama janguani, wapulizie kwenye Mabasi, mgari madogo na machaka makubwa kama utaona mbu tena
 
Back
Top Bottom