Vyama Washirika wa UKAWA vyadhihirisha kuwa ni vyakikabila, Kikanda na kidini

Chama chochote dunian..au kitu chochote dunian ambacho kinahitaji watu kama mtaji wake bs ni lazima kiwe locolized.kwa maana kua lazma kitakua km ni chama cha siasa bas lazma kuna maali kitakua na wafuasi wengi..na hii huitwa ngombe ya chana flan.ht timu za mpira wa miguu ni hvy hvy.watu hawawez kua evenly distributed km unavyotaka mtoa mada.hata ccm pia ina mikoa au kanda ambazo ni ngome yake..
 
ona naye huyu akili yako na huyu haina tofauti hata kidogo jitathimini!

wew msukule tulia tukuombee mizimu ikuachie. Ona mlivyopangwa foleni hapa cjui mpo watatu tu!!? Muiteni na msalani aje kuwaongezea nguvu. Hahaha. Mngejua hivi vihoja vyenu vya udin, ukabila, ukanda vitawala nyie wenyew!! Hahhaha. Amnafikiria kupitia miguu nini???
 
Kweli wewe mbumbumbu mchakato wa gesi unaonekana huna hata unachojua nyamza tu halafu kwanini wengi wenu bavicha hamna akili?


Hivi mm na wewe nani mbumbumbu!!... Wewe mpiga zumari wa mafisadi utaelewa nini zaidi ya kumsifia fisadi anayekuweka mjini,,,, Unajua Mtwara Corridor master plan ilikuwa inasema nini na kipi kilichofanyika?? Usifikiri kila mtu anauelewa kama wako!!
 
Chadema juzi kwenye kikao wamechekesha kweli walitaka wao pia watoe mgombea urais,mgombea mwenza pamoja na waziri mkuu,

kibaya zaidi wakawa wanataka eti kama wataenda ikulu wapewe pia wizara ya fedha,wizara ya ulinzi,wizara ya mambo ya nje pamoja na wizara ya viwanda na biashara ndipo mbatia kasuasa zake na kutoka nje ya mkutano.

Du kweli hamlali, kutwa kupanga plan za kuvunja UKAWA
 
Umesahau mada uliyoileta inasema nini? Kama UKAWA wamegawana majimbo ya uchaguzi Lindi hadi Arusha, Dar es Salaam hadi Kigoma, Unguja hadi Pemba...je hofu yako ni nini? Majimbo gani UKAWA hawapo ama wameitenga?

Anataka UKAWA washirikiane na CCM act
 
Ndiyo kazi anayofanya zitto kwa chadema anawagaragaza mpaka basi kwasasa hakuna anayekura na kushiba zitto kawafanya wasilale kutuwa wanamuwaza poleni chagadema.

CHADEMA ni maji marefu mtataga vifaranga na vifaranga vya kuwasadia kuingamiza, CHADEMA itaendelea kudunda,mwisho mtamaliza mayai yenu bure.
 
LIZABONI;
Amka kumekucha yakee! Dahh! Bado usingizi umekupamba?? UKAWA haina haja ya kuokoteza kura zisizo na nguvu, tunataka kuling'oa hili jinamizi zee la siku nyingi lililonyonya watu mpaka sasa hawana damu tena bali maji.
Njia pekee ni UKAWA tuuu hakuna njia nyingine. Umoja huu ndiyo ngao ya Mtanzania kuepukana na zimwi hili. Umoja uwe kikanda, uwe kimkoa, uwe kiwilaya ila usiwe kimataifa kwanza.
Hivi mkuu Lizaboni, unaijua Tanzania ni nchi iliyo unganika kikabila, kikanda, kidini na kirangi??? Mbona huoni umoja wa UKAWA kuwa na sura halisi ya umoja tunao uhitaji???
Umedhihirisha vizuri kabisa kuwa ccm ndiyo yenye kuujua ubaguzi. UKAWA imeua huo ubaguzi. Tumekudhihirishia kuwa, Pamoja na tofauti zetu za kijinga, tumeweza kukubaliana, ili tukubaliane kwa pamoja kumng'oa zimwi. NA SASA IMEWEZEKANA. Subiri tu Oktoba, tumalizie kazi. Lizaboni, utauona uongozi na utajua kuongoza nchi ni kivipi. Huu kwa Tz ni mtaala mpya unaanzia Novemba, 2015. Usiogope, hatulipizi visasi ila kuchubuka kupo kwani kuachia madaraka si rahisi.
 
wew msukule tulia tukuombee mizimu ikuachie. Ona mlivyopangwa foleni hapa cjui mpo watatu tu!!? Muiteni na msalani aje kuwaongezea nguvu. Hahaha. Mngejua hivi vihoja vyenu vya udin, ukabila, ukanda vitawala nyie wenyew!! Hahhaha. Amnafikiria kupitia miguu nini???
Japo huwa sipendi sana kubishana na wake za watu lakini ngoja nikomae na wewe haijalishi mzee wako atasema nini,

kwanza kamuombee slaa aliyefanya maasi kanisani mpaka akafukuzwa upadri,pili muombee Mbowe ambaye hajui anachofanya kwenye hii dunia mtu mzima anatangaza ukabila na ukanda waziwazi.
 
CHADEMA ni maji marefu mtataga vifaranga na vifaranga vya kuwasadia kuingamiza, CHADEMA itaendelea kudunda,mwisho mtamaliza mayai yenu bure.
Kama zitto tu kawashinda anawapukutisha kila anakopita hayo maji marefu ni maji gani labda maji ya chai ya basi ya kure arusha.
 
Hivi umeelewa nilichoandika au umekurupuka tu kuchangia?

Wewe umeelewa nichokujibu? Nyinyi mapakacha,magamba,mafisi mumekwishaa. UKAWA ndio habari ya mujini na vijijini kwishaa!Habari yenu manyang'au wakubwa muliokosa utu na kuwadhulumu masikini wanyonge wa nchi hii halafu manajifu na kujiona wajanja. Nyinyi watu nyinyi?
 
Oooo! " UKAWA wanaudini wana ukabila" PUMBAVU! UKAWA NDIO KITANZI CHENU chadema pande hii,cuf pande ile,nccr kule. Kibaka atapenyea wapi hapo? Mumekwisha wizi msio na huruma nyinyi.
 
japo huwa sipendi sana kubishana na wake za watu lakini ngoja nikomae na wewe haijalishi mzee wako atasema nini,

kwanza kamuombee slaa aliyefanya maasi kanisani mpaka akafukuzwa upadri,pili muombee mbowe ambaye hajui anachofanya kwenye hii dunia mtu mzima anatangaza ukabila na ukanda waziwazi.

una akili ndogo kama ya kuku coz wew ni msukule so huwez shindana na jembe kama mm
 
Japo huwa sipendi sana kubishana na wake za watu lakini ngoja nikomae na wewe haijalishi mzee wako atasema nini,

kwanza kamuombee slaa aliyefanya maasi kanisani mpaka akafukuzwa upadri,pili muombee Mbowe ambaye hajui anachofanya kwenye hii dunia mtu mzima anatangaza ukabila na ukanda waziwazi.

Hivi mods kwa nini mnaacha threads kama hizi za kudharirisha viongozi wa kitaifa wa Chama kikuu cha upinzani na hali mada wala hoja zilizomo haziwahusu? Hata kama waleta mada wana sababu zao za mashambulizi kwao watafute forums za kuwatukana, sio kila posts za kisiasa wanatumia nafasi hiyo kutoa matusi na hali mods mpo tu mnaangilia. Mods tendeni haki.
 
Mwalimu respect wa boda hebu sogea huku tulikamue hadi mavi hili jinga linalotumia makalio kufikiri badala ya ubongo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom