Vyama vya Upinzani vyataka Spika Ndugai ajishushe kufuatia sakata la Bunge na CAG

Yani kelele hazisaidii yani kabsaa umuachie ngulue shamba lako la mihogo kisa huna mkuki?
 
Leo umekuja kivingine kabisa, ambavyo sijapata kukusoma.

Nilitaka ku'quote mistari miwli tu ya mwanzo ya bandiko lako, kadri nilivyoendelea kusoma, nikaona nilibebe lote kwa uzito wake.

Virusi na hata bakteria wanazaana, na hawabadiliki wakawa tofauti za wazazi wao; leo wewe unataka Tanzania isubiri miaka 50, watakaokuja watakuwa ni waTanzania tofauti na hawa tulionao sasa hivi!

Okay, naelewa vyema dhana ya 'evolution', lakini kutegemea ndani ya miaka 50 itokee?

Kinachotakiwa sasa hivi ni kuiondoa CCM kwa njia yoyote ile, tuanze upya. Vinginevyo hatuendi popote kama taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…