Vyama vya Upinzani vyataka Spika Ndugai ajishushe kufuatia sakata la Bunge na CAG


Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Messages
385
Points
1,000
Influenza

Influenza

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2018
385 1,000
Vyama Vya Siasa nchini vimemtaka Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kujishusha kufuatia sakata baina ya Bunge na CAG kutokana na kusababisha mgongano baina ya Mamlaka na kukwamisha utendaji Kazi.

Mwenyekiti wa UPDP mhe. Fahmi Dovutwa amesema kwa hali ilivyo sasa ya Spika kumtaka CAG kwenda kwa Rais kujieleza ni kuongeza mkanganyiko zaidi unaowaweka wananchi njiapanda juu ya uangalizi wa hesabu za miradi ya maendeleo.

Wakati huo huo vyama hivyo ambavyo ni CHADEMA, CHAUMA, ACT Wazalendo, Democratic Party, CCK na UPDP vimeungana na kufungua kesi katika mahakama ya Afrika Mashariki kupinga matumizi ya Sheria ya vyama Vya Siasa ambayo vimedai kuwa inakandamiza misingi ya demokrasia.

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema katika kesi yao wameomba mahakama ya Afrika Mashariki kutoa zuio la matumizi ya Sheria hiyo mpaka kesi yao ya msingi itakaposikilizwa na kutolewa maamuzi na mahakama hiyo.

Chanzo: Muungwana Blog
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
3,618
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
3,618 2,000
acheni kelele Fanyeni Kazi bhwana
 
Manga ML

Manga ML

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Messages
8,230
Points
2,000
Manga ML

Manga ML

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2013
8,230 2,000
sarakasi zote tunazoshuhudia za ukiukwaji wa katiba, wizi , kuviziana, ubabe , ufisadi kutekana , kuuana, kutukanana, kutesana and the like zitakufa a natural death in 50 years baada ya genge la wahusika wote kufukiwa na udongo, i wish wabongo wangetulia tu na kutafuta mkate wa familia, this is my theory of generation/ population! yaani huwa nacheka sana wabongo wakilalamikia chochote from the state!!! imani yangu hakuna ambacho kelele na mayowe vitabadilisha sababu we deal with the same manifesto , the same heads/brains/minds in power for almost 58 years now, si wanazeeka na kuchoka hamna macho? wengine hata kuongea kwa kitetemeshi!!wengine kutembea kwa shida! wengine wako kwenye coma! wengine spana mkononi kila siku wako India!!! for me kulalamika is just a waste of energy and time!! wenye akili watanielewa!!!
Yani kelele hazisaidii yani kabsaa umuachie ngulue shamba lako la mihogo kisa huna mkuki?
 
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
2,053
Points
2,000
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
2,053 2,000
sarakasi zote tunazoshuhudia za ukiukwaji wa katiba, wizi , kuviziana, ubabe , ufisadi kutekana , kuuana, kutukanana, kutesana and the like zitakufa a natural death in 50 years baada ya genge la wahusika wote kufukiwa na udongo, i wish wabongo wangetulia tu na kutafuta mkate wa familia, this is my theory of generation/ population! yaani huwa nacheka sana wabongo wakilalamikia chochote from the state!!! imani yangu hakuna ambacho kelele na mayowe vitabadilisha sababu we deal with the same manifesto , the same heads/brains/minds in power for almost 58 years now, si wanazeeka na kuchoka hamna macho? wengine hata kuongea kwa kitetemeshi!!wengine kutembea kwa shida! wengine wako kwenye coma! wengine spana mkononi kila siku wako India!!! for me kulalamika is just a waste of energy and time!! wenye akili watanielewa!!!
Leo umekuja kivingine kabisa, ambavyo sijapata kukusoma.

Nilitaka ku'quote mistari miwli tu ya mwanzo ya bandiko lako, kadri nilivyoendelea kusoma, nikaona nilibebe lote kwa uzito wake.

Virusi na hata bakteria wanazaana, na hawabadiliki wakawa tofauti za wazazi wao; leo wewe unataka Tanzania isubiri miaka 50, watakaokuja watakuwa ni waTanzania tofauti na hawa tulionao sasa hivi!

Okay, naelewa vyema dhana ya 'evolution', lakini kutegemea ndani ya miaka 50 itokee?

Kinachotakiwa sasa hivi ni kuiondoa CCM kwa njia yoyote ile, tuanze upya. Vinginevyo hatuendi popote kama taifa.
 
Marry Ngowi

Marry Ngowi

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Messages
850
Points
1,000
Marry Ngowi

Marry Ngowi

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2013
850 1,000
Kweli inaumiza sana 😊😊😊Ndungai kaamua kujitoa ufahamu .Mwishoni huenda akachukia hata yeye kuitwa kwa jina lake
Nimecheka sana kwa hili nikawaza ukiwa unapigana ngumi na mtu halafu ukaona umezidiwa muda si mrefu unang'olewa meno basi kinachotokea unatoka mkuku kwenda kutafuta kijeba baunsa au mamluki ili muungane kwa pamoja kumpiga adui yako ili ushinde vita ambayo imekushinda na tayari una manundu na damu zinakuvuja kila mahali!!

Mimi naona aibu sana kuwa sehemu ya kizazi hiki ambacho kinawatesa watu maskini wanaolala na njaa na kukosa maji ya kunywa na kuoga, naona aibu sana kuwa sehemu ya jamii iliyo chini ya baadhi ya uongozi wa kijinga jinga, yaani badala ya bunge kuiamuru sirikali kuanza leo hii right here right now kukamata wezi na mafisadi wote ambao ripoti ya CAG imewataja na ushahidi juu , tunaletewa michezo ya sarakasi za mada za kijinga za kudiscuss ili kuwatoa watu kwenye MADA HALISI, yaani watu eti sasa wawe bize kudiscuss na kusubiri CAG aende kujieleza kwa Rais badala ya kudiscuss BUNGE KUWA DHAIFU na kushindwa kuamuru wezi wote waliotajwa na CAG wakamatwe na kushindwa kudhibiti ufisadi wa mabilioni ulio wazi na wenye ushahidi! some of us are not at that level of foolishness and stupidity!

nchi yetu ina JEMEDARI na MZALENDO mmoja tu ambae tuna mpa tabu sana ya kumtupia mipira yote kufanya maamuzi magumu ya kunyoosha wezi na mafisadi ili tumtupie lawama yeye tu kuwa kawatoa watu makazini!
 

Forum statistics

Threads 1,285,009
Members 494,369
Posts 30,847,189
Top