Hatuwezi kumwachia nguruwe shamba la mihogo , bali ninachokifahamu ni kwamba uchaguzi huu waweza kuhitimisha nchi ya TanzaniaCCM hawako tiyari kwa uchaguzi, kuna hujuma kali sana zinaendelea usiku na mchana na hazina mwisho na tutajuta mno kuingia kwenye huu uchaguzi, sioni mwanga, naona giza tupu, uhuni huu unaofanywa kwa sasa ni trela tu ya picha yenyewe hapo October...
Kwa tume hii na yanayoendelea we subili utaona!Hio ndogo kwa staili hii inayo onekana atashinda kwa 110% yaani ita bust
Kwa kweli hakuna haja ya kuendelea na mchakato huu dhalimu, vyama vya siasa vije na kauli moja: kutoshiriki mchakato hadi haki irejeshwe.CCM hawako tiyari kwa uchaguzi, kuna hujuma kali sana zinaendelea usiku na mchana na hazina mwisho na tutajuta mno kuingia kwenye huu uchaguzi, sioni mwanga, naona giza tupu, uhuni huu unaofanywa kwa sasa ni trela tu ya picha yenyewe hapo October....
Sio 12.5Magu atashinda kwa 99%
Mimi binafsi hata iweje kwa hali hii stapoteza muda wangu kwenda kupiga kuraKwa kweli hakuna haja ya kuendelea na mchakato huu dhalimu, vyama vya siasa vije na kauli moja: kutoshiriki mchakato hadi haki irejeshwe.
Tatizo vyama vingi vya upinzani ni vibaraka wa CCM hapo wala hayupo wa kususia wanasubiri wapate pesa za kampeni maisha yaendelee
99% magufuli atazipataje vilaza msipompigia kura ?Mimi binafsi hata iweje kwa hali hii stapoteza muda wangu kwenda kupiga kura
Kwa tume hii ndugu we subili utaona99% magufuli atazipataje vilaza msipompigia kura ?
Kususa hakuna tija. Bora kufa unajiona kuliko kumpigia magoti shetani.Huu Uchaguzi sio kabisa, ilikuwa ususiqe kabisa kwa kutumia ile move ya 2019 kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaaa