BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Katika nchi za Afrika Serikali nyingi Zinatumia media kama Tv,Radio na.magazeti kuendesha propaganda ili
ziendelee kubakia madarakani.mfano hai
tumeona uchaguzi.uliopita namna UKAWA walivyokuwa wakilia na poor media coverage,wakibakiwa na kituo
kimoja ambacho kilijitahidi.ku balance
coverage zake.
Majuzi tumeone hujuma za Utawala
kusitisha TBC live coverage ya Bunge la jamhuri kuepuka vibano na fedheha toka kwa wanasiasa wa upinzani.pia tuliona
mmiliki wa kituo kilichokuwa kinarusha
habari za uchaguzi bila upendeleo alivyo
dhalilishwa na baadhi ya wanachama
wa chama tawala.
Nilitegemea thinker tank ya opposition
ijiandae na mkakati wa kuepuka tatizo la
kutegemea media hizo zisizotenda haki na kuanzisha za kwao zitakazokuwa na
mlengo huru ili ziwe za mfano.lakini
naona wanaelekeza nguvu zao kupingana na chama tawala Bungeni na
kuleta vurugu! hawaoni kama hii ni busi
ness opportunity ya wapinzani kuwa na
strong TV Station na Radio? Magazeti angalau wamewekeza na hakuna athari kama hili eneo la Runinga na Radio.
opposition kwa sasa inasupport ya wananchi na matajiri.wekezeni kwenye
media na kutengeneza descent office.
muweze kueleweka na kupewa dhamana
ya kuongoza nchi.
Ni hayo kwa leo.