Vyama Vya Siasa visimkatishe Tamaa Rais Magufuli

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,086
Jana wakati Rais Magufuli alipofanya ziara ya ghafla kukagua ujenzi wa pale Airport nilisikitika sana kusikia ujenzi wa jengo lile ni Bilioni 560. Hivi kweli hata kama ni kupiga deal kwa huo ujenzi ni kukufuru.
Leo wanasiasa baada kumpa ushirikiano Rais Magufuli imebaki kumwita majina ya ajabu ajabu na kuponda mapambano yake dhidi ya ufisadi na kuleta nidhamu serikalini. Nchi yetu ya Tanzania ilikuwa imefikia hatua mbaya sana kwa kila aina madhambi makubwa na madogo, kila mtanzania bila kujali Itikadi ya siasa, kabila, ama dini ni wajibu wetu kumpa ushirikiano kiongozi huyu. Hili tatizo la madawa ya kulevya Kutokana Na ripoti ya shirika la Marekani la kupambana na madawa ya kulevya (Department of Drugs Enforcement) pwani ya Afrika mashariki haswa Tanzania na Kenya ndio imekuwa sehemu kubwa ya kupokea na kutawanya madawa hayo kwenda Ulaya mbali na hapo leo vijana wetu kwa mamia wameanza kuona biashara hiyo ndiyo njia pekee ya kujipatia utajiri wa haraka na wengine wamedhurika vibaya na madawa hayo.
Leo mimi binafsi namuona Rais Magufuli katika utendaji wake wa kazi hamna tofauti na Rais Putin wa Urusi ama Rais Erdogan wa Uturuki ambao kwa msimamo wao na utendaji wao kazi uchumi wa nchi hizo umekuwa kwa kasi kubwa. Kama kiongozi leo anakutana na mradi wa Bilioni 560 na anatakiwa azilipe wakati yeye mwenyewe anaona kuwa mradi huo ni White Elephant kwanini asichukie.
Ndugu zangu Watanzania wenye nia njema na Tanzania tumuunge kiongozi huyu shupavu mkono kwani kuna siku tutakuja kumkumbuka kwa kazi nzuri aliyewafanyia watanzania bila kujali Itikadi ya chama.
 
Hawamuwezi, Hao wabunge kelele zao zitaisha siku wakimaliza bunge, warudi huku mtaani watajwe kama nao wanahusika na madawa ya kulevya. Kama wamepewa milungula na wauza kete kipindi hiki hawachomoki, tia wote ndani.
 
Ushirikiano gani apewe Kama yeye mwenyewe ataki ushirikiano
Kamfunga Lema
Kagoma kutu onyesha anapokea mshahara kiasi gani
Kagoma kukatwa kodi kwenye mshahara wake
Kazuia bunge letu pendwa,kioo chetu cha nuru tusione live Kama siku za nyuma,ataki kuheshimu katiba
 
Hata kundika kwa nafasi na kwa kutenga aya huwezi halafu unataka ueleweke. Ukiambiwa utadai ni wapinzani!!
Umeishiwa pumuzi mkuu, hata kimya nalo ni jibu. Kuna kiindi tu hutakiwi kujiangalia mwenyewe tu. Angalia na upande wajamii nzima inavyoharibika.
 
Sijapigwa ban kitambo ujue!!!!!
Halafu unajileta kinyumenyume!!!!
 
Hebu soma vizuri sentence zako kabla hujanikosoa.
"Typo" ni jambo la kwaida kwenye uandishi lakini siyo makosa yako wewe!! Rekebisha makosa yako ili bandiko lako lisomeke na ueleweke!
 
Kwa mtimdo huu hakuna cha kustajabisha ndio ivyo nchi imeanza kwenda shimoni kwa mtindo huu wa kuzalisha majuha na vilaza kama muanzisha uzi huu. Inatia kinyaa.
 
Vyama vya siasa visimkatishe tamaa Magufuli, wakati yeye kila siku anajitahidi kuviangamiza..!

"Hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?"
 
Jana wakati Rais Magufuli alipofanya ziara ya ghafla kukagua ujenzi wa pale Airport nilisikitika sana kusikia ujenzi wa jengo lile ni Bilioni 560. Hivi kweli hata kama ni kupiga deal kwa huo ujenzi ni kukufuru.
Leo wanasiasa baada kumpa ushirikiano Rais Magufuli imebaki kumwita majina ya ajabu ajabu na kuponda mapambano yake dhidi ya ufisadi na kuleta nidhamu serikalini. Nchi yetu ya Tanzania ilikuwa imefikia hatua mbaya sana kwa kila aina madhambi makubwa na madogo, kila mtanzania bila kujali Itikadi ya siasa, kabila, ama dini ni wajibu wetu kumpa ushirikiano kiongozi huyu. Hili tatizo la madawa ya kulevya Kutokana Na ripoti ya shirika la Marekani la kupambana na madawa ya kulevya (Department of Drugs Enforcement) pwani ya Afrika mashariki haswa Tanzania na Kenya ndio imekuwa sehemu kubwa ya kupokea na kutawanya madawa hayo kwenda Ulaya mbali na hapo leo vijana wetu kwa mamia wameanza kuona biashara hiyo ndiyo njia pekee ya kujipatia utajiri wa haraka na wengine wamedhurika vibaya na madawa hayo.
Leo mimi binafsi namuona Rais Magufuli katika utendaji wake wa kazi hamna tofauti na Rais Putin wa Urusi ama Rais Erdogan wa Uturuki ambao kwa msimamo wao na utendaji wao kazi uchumi wa nchi hizo umekuwa kwa kasi kubwa. Kama kiongozi leo anakutana na mradi wa Bilioni 560 na anatakiwa azilipe wakati yeye mwenyewe anaona kuwa mradi huo ni White Elephant kwanini asichukie.
Ndugu zangu Watanzania wenye nia njema na Tanzania tumuunge kiongozi huyu shupavu mkono kwani kuna siku tutakuja kumkumbuka kwa kazi nzuri aliyewafanyia watanzania bila kujali Itikadi ya chama.
Yule mwizi wa million 7 kila dakika yu wapi
Masamaki
Wale waliopiga dili za dangote walipandishwa kizimbani....?

Ni ngumu SNA kuiamini ccm hata asimame yesu/ mtume mohamad.....na mtakatifu yeyote... Ccm INA laana
 
Vyama vya siasa visimkatishe tamaa Magufuli, wakati yeye kila siku anajitahidi kuviangamiza..!

"Hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?"
"Punguani wahed"[emoji13] [emoji13] [emoji13] faiza
 
Hakuna mapambano wewe ni usanii tu! Anaona gharama kubwa ya ujenzi lakini hapo hapo ule uozo wa boti lake la bilioni 8 haoni kama ni gharama kubwa tena bila woga wala aibu kenda kuwabambika JWTZ nakuomba wamlinde ili tusijadili vinginevyo watakaojadili wote washughulikiwe! Hana jipya huyu mnafiki wa hali ya juu.

Back
Top Bottom