Vyama Vya Siasa visimkatishe Tamaa Rais Magufuli

Vyama Vya Siasa visimkatishe Tamaa Rais Magufuli

Hawamuwezi, Hao wabunge kelele zao zitaisha siku wakimaliza bunge, warudi huku mtaani watajwe kama nao wanahusika na madawa ya kulevya. Kama wamepewa milungula na wauza kete kipindi hiki hawachomoki, tia wote ndani.
Je na viongozi waliopo nao una uhakika watarudi
 
Magufuli anaongoza bila vision. Hataki kuimarisha institutions za serikali zimsaidie yeye kila siku kesi na kutumbua. Tena anauliza "nitumbue nisitumbue"......teh teh.... Jamaa yenu anajichosha atazeeka haraka.
 
Ngoja na mimi niuongeze hapo japo ata mmoja. Unamaanisha "kumkobeka" bila ya kilainishi.!!?
Hivyo hivyooooo!!!
Tukimcha Mungu haiwanogi, ngoja tuwape za masela wa enzi za nabii Lutu.
 
Ushirikiano gani apewe Kama yeye mwenyewe ataki ushirikiano
Kamfunga Lema
Kagoma kutu onyesha anapokea mshahara kiasi gani
Kagoma kukatwa kodi kwenye mshahara wake
Kazuia bunge letu pendwa,kioo chetu cha nuru tusione live Kama siku za nyuma,ataki kuheshimu katiba
Umbea mbaya sana, hujui mshahara wake lakini unajua mshahara wake haukatwi kodi,
 
Back
Top Bottom