cc zitto kabwela
kuna kamati ya PAC na kamati ya Zitto!hizi directives za Kamati ya PAC,sasa tunangoja maagizo ya kamati ya Zitto.yale maagizo ya 'Nipo tayari kufa'
aaaaaah! hivi sheria inaruhusu hii kitu kweli?Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya serikali PAC imetoa tamko la kuridhia vyama kukamilisha taarifa za fedha na kukabidhi kwa CAG ifikapo Januari 2014.
Hii ni baada ya Kamati hiyo kukutana na msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi leo jijini Dar es Salaam.
Pia kamati hiyo imemtaka msajili wa vyama kuendelea kuvipatia Ruzuku vyama hivyo.
Source:Mwananchi Breaking News
Ha ha ha yule hana lolote ni njaa tu ya madaraka inamsumbu ndio maana hata msajili kasema hawezi kusitisha ruzuku bila upembuzi yakinifu, akitilia mashaka uamuzi wa zitto kuwa alitaka kujijenga yeye mwenyewr
Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya serikali PAC imetoa tamko la kuridhia vyama kukamilisha taarifa za fedha na kukabidhi kwa CAG ifikapo Januari 2014.
Hii ni baada ya Kamati hiyo kukutana na msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi leo jijini Dar es Salaam.
Pia kamati hiyo imemtaka msajili wa vyama kuendelea kuvipatia Ruzuku vyama hivyo.
Source:Mwananchi Breaking News
aaaaaah! hivi sheria inaruhusu hii kitu kweli?
Mkuu kuna mahali nimesema:
Wakurupukaji wajifunze.Tulisema PAC ilitakiwa ku-deal na CAG na Ofisi ya Msajili kwanza.
Hizi tabia za kukurupuka kama chafya ndizo zinazoharibu na kushusha kiwango cha siasa zetu
Ilimradi mtu una ajenda yako binafsi na mapovu ya kutosha basi unaitumia fursa kwa namna yoyote ile.
Hoja hazijengwi kisomi bali kwa jazba na chuki binafsi tu.Mbaya zaidi inapofanywa na wanasiasa wasomi
Haya sasa nashauri turudi kwenye mada za msingi.Katiba Mpya!
Angekuwa Tendwa sasa tungekuwa tunaongea mengine... ha ha ha haaa! mafao mwema, mzee sharo baro!...Inaonekana msajili alikuwa na kazi ya kuwaelimisha akina Zito hadi wakaelewa walichopaswa kukifanya. Tatizo walibeba ajenda zao wakamiss target na sasa msajili kawarudisha kwenye target stahili na kuwatoa kwenye ajenda zao za kipuuzi.
Mkuu kuna mahali nimesema:
Wakurupukaji wajifunze.Tulisema PAC ilitakiwa ku-deal na CAG na Ofisi ya Msajili kwanza.
Hizi tabia za kukurupuka kama chafya ndizo zinazoharibu na kushusha kiwango cha siasa zetu
Ilimradi mtu una ajenda yako binafsi na mapovu ya kutosha basi unaitumia fursa kwa namna yoyote ile.
Hoja hazijengwi kisomi bali kwa jazba na chuki binafsi tu.Mbaya zaidi inapofanywa na wanasiasa wasomi
Haya sasa nashauri turudi kwenye mada za msingi.Katiba Mpya!
msajiri alisema hawezi kusitisha ruzuku kwa vyama hadi ajiridhishe.Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya serikali PAC imetoa tamko la kuridhia vyama kukamilisha taarifa za fedha na kukabidhi kwa CAG ifikapo Januari 2014.
Hii ni baada ya Kamati hiyo kukutana na msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi leo jijini Dar es Salaam.
Pia kamati hiyo imemtaka msajili wa vyama kuendelea kuvipatia Ruzuku vyama hivyo.
Source:Mwananchi Breaking News
Lakini kwa kauli zake za njaa njaa mwisho wa siku January 2014 mahesabu yanatakiwa yapelekwe nadhani kama asingeitoa hiyo kauli ya njaa mahesanu yasingepelekwa mpaka uchaguzi mguu utakapokaribia