Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,312
- 152,112
Naomba kujua kama vyama vya siasa vinavyopewa ruzuku na serikali vimepewa ruzuku na pia ningependa kujua vilistahili kupewa kiasi gani na mpaka sasa kila chama kimepewa kiasi gani na mara ya mwisho malipo haya kwa kila chama yamefanyika lini?
Nauliza hivi kwasababu kuna vyuo tulisikia vimesitisha kuwapa wahitimu vyeti kwasababu Bodi ya Mikopo ilikuwa haijalipa ada za wanafunzi waliomaliza masomo mwaka jana.
Tumesikia pia taarifa zisizo rasimi kuwa OC katika Halmashauri zetu mbalimbali ni tatizo, kuna kipindi madawa yaliadimika,wanafunzi wanaosoma nje ya nchi kusitishiwa ufadhili na serikali,n.k.