Vyama vya siasa feki Tanzania...

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Umedhihirisha hujanielenielewa nilikuwa nazungumzia swali gani, ila nevermind kwa sababu huna hata lengo la kuelewa.
Bado tunaendelea (mimi na wewe) kutafuta vyama feki Tanzania. Umesema kuwa umepitia ccm na kupata ulichokuwa unatafuta. Katika kuthibitisha ufeki wa ccm kabla hatujaenda kuijadili DP, jibu swali

na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
ameishiwa majibu wamezoea kutudanganya sana sasa tumefunguka macho wakae chonjo...
Inabidi awe amevaa nguo za fire fighters kabla hajaingia JF maana inaonekana joto la hapa haliwezi. Hapa ni kibano na mawe mpaka kieleweke na mpaka wao na ufisadi wao wakome kuuza nchi na kuitia umasikini kama leo hii.
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Na wake wanaotetea vyama visivyojua kama website zao haziko hewani?
Uozo gani nilioutetea? naona unajitahidi kwa spin and fabrication!
Nitakupeleka taratibu kama huelewi.

Swali moja at a time:

na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,958
2,000
Inabidi awe amevaa nguo za fire fighters kabla hajaingia JF maana inaonekana joto la hapa haliwezi. Hapa ni kibano na mawe mpaka kieleweke na mpaka wao na ufisadi wao wakome kuuza nchi na kuitia umasikini kama leo hii.
Itafika kipindi inabidi wajifiche kabisa hata kwenye makabati wenye nchi tumechachamaa hatumwamini mtu sasa....usanii umezidi.
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
13,580
2,000
Hakuna jambo mkuu,

Amekosa majibu ya maswali niliyompa na sasa anakimbia kama kawaida yake. Utamwona amerudi hapa baada ya masaa manane nikiondoka na kujaribu kuendeleza debate kwa vile "shari" imeondoka...

Au atarudi kwa lile jina lake lingine na kuendeleza vilio huku akipata msaada nusu toka kwa bingwa wa vilio vya JF.........
Kumbe consipiracy theories zako haziishii kwa Balali tu, hata mimi ushanipa double identity. Kweli we mkali wa conspiracy!
 
Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,194
0
Kumbe consipiracy theories zako haziishii kwa Balali tu, hata mimi ushanipa double identity. Kweli we mkali wa conspiracy!
na kwenye conspiracy hizo, unatakiwa kujibu swali lifuatalo kama nyongeza ya sifa ulizomwaga hapa kuwa umepata majibu ya sera na katiba toka ccm:

na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
 
Mtarajiwa

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
440
0
Mimi naamini hakuna chama kinachowafundisha wanachama wake kutokuwa waadilifu ama kuwa mafisadi.Haya ni matendo binafsi ya wanachama mmojammoja kama mapungufu waliyonayo pia baadhi ya wanachama wa vyama vingine vya siasa.Hakuna chama chote cha siasa tanzania(duniani) ambacho wanachama wake wote ni safi na wanakitakia mema chama na wengine wote ambao si wafuasi wa kile chama.
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa hakuna vyama feki Tanzania?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom