Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,912
Kwa bongo kichwa cha habari tu ni uchochezi, umeme ukikatika nyumbani kwako usiku usitoke nje.
Ni kweli. Afrika bado hakuna viongozi bali watawalaSiyo kwa African na especially Tanzania!! Waafrica wanapenda utemi, ufalme ambako kiongozi hakosolewi!! African kumkosoa kiongozi ni utovu wa nidhamu!! Africa bara la giza, na viongozi wao wanawaibia wananchi wao huku hawataki kuulizwa wala kuweka wazimu mikataba na mfano ni Tanzania.
Africa vyama vingi kwao havina maana na mfano ni Tanzania