Ni wanafunzi wapatao 14,000 wajiunga rasmi na vyama pinzani kwasababu za kutotendewa haki katika mgawanyo wa mikopo kwa kuwawezesha kujiunga na elimu ya chuo kikuu.
Ni baada ya Bodi ya mikopo kuwatangaza Rasmi kwamba hawatapewa mikopo kwasababu mbalimbali zikiwemo za ufinyu wa bajeti, wana uwezo wa kujigharimia masomo yao, udanganyifu ulifanyika katika kujaza fomu zao za mikopo, nk. Na uwamuzi huo umefanywa na wahusika hao kwa kudai kwamba chama tawala kimeshindwa kutimizia haki yao ya msingi ya kukopeshwa pamoja na kuwa na vigezo vyote.
Chanzo: wanafunzi wenyewe.