Vyama pinzani vyapata wanachama wapya 14,000

NIMIMI

Senior Member
Apr 2, 2011
170
16
Ni wanafunzi wapatao 14,000 wajiunga rasmi na vyama pinzani kwasababu za kutotendewa haki katika mgawanyo wa mikopo kwa kuwawezesha kujiunga na elimu ya chuo kikuu.

Ni baada ya Bodi ya mikopo kuwatangaza Rasmi kwamba hawatapewa mikopo kwasababu mbalimbali zikiwemo za ufinyu wa bajeti, wana uwezo wa kujigharimia masomo yao, udanganyifu ulifanyika katika kujaza fomu zao za mikopo, nk. Na uwamuzi huo umefanywa na wahusika hao kwa kudai kwamba chama tawala kimeshindwa kutimizia haki yao ya msingi ya kukopeshwa pamoja na kuwa na vigezo vyote.

Chanzo: wanafunzi wenyewe.
 
We Mkali sana Mkuu, yaani umewasiliana na wote hao 14,000?
 
Kujiunga na upinzani kwa sababu ya kukosa mkopo ni unafiki na ugeugeu. Je, wakipewa mwakani? watarudi ccm kwa sababu serikali inawajali?
La msingi ni kufuatilia kama kuna haki imetendeka katika kunyimwa mkopo. Kama hakuna haki iliyotendeka wapeleke malalamiko kunakohusika na sio kujifanya wapinzani.
 
Hata hao waliopata mkopo bado wanakabiliwa na ugumu kutoka kwenye vyuo vyao. mimi na ninadugu yangu alipata mkopo asilimia 80. chuo walikataa kata kata kumkubalia kupata, mpaka leo anasomeshwa na ndugu na jamaa. this country bwana is stupid.
 
Ni wanafunzi wapatao 14,000 wajiunga rasmi na vyama pinzani kwasababu za kutotendewa haki katika mgawanyo wa mikopo kwa kuwawezesha kujiunga na elimu ya chuo kikuu.

Ni baada ya Bodi ya mikopo kuwatangaza Rasmi kwamba hawatapewa mikopo kwasababu mbalimbali zikiwemo za ufinyu wa bajeti, wana uwezo wa kujigharimia masomo yao, udanganyifu ulifanyika katika kujaza fomu zao za mikopo, nk. Na uwamuzi huo umefanywa na wahusika hao kwa kudai kwamba chama tawala kimeshindwa kutimizia haki yao ya msingi ya kukopeshwa pamoja na kuwa na vigezo vyote.

Chanzo: wanafunzi wenyewe.
hoja legevu sasa kama kila mtu asipo ridhika na maamuzi ya serikali anahama,huyu mtu atahama vyama vyote nchi kwa sababu hakuna siku jambo litafanyika tukakubaliana wote,na huu sio msingi wenye ukweli.hebu jipange tena uje kivingine tukuelewe.
 
Ukweli unabaki CCM inawapoteza vijana wa elimu ya juu kwa sera yake ya mikopo. hawa vijana wana ushawishi mkubwa sana
 
Ndio mambo ya waTz. How possible amewacontact wote, ndio huo ubabaishaji
Think criticaly and argue criticaly. What is the meaning of representation? Hivi JK alituuliza watanzania wote kama tunahitaji katiba mpya?
 
Kujiunga na upinzani kwa sababu ya kukosa mkopo ni unafiki na ugeugeu. Je, wakipewa mwakani? watarudi ccm kwa sababu serikali inawajali?
La msingi ni kufuatilia kama kuna haki imetendeka katika kunyimwa mkopo. Kama hakuna haki iliyotendeka wapeleke malalamiko kunakohusika na sio kujifanya wapinzani.

Kwani kujiunga na chama fulania kupigania haki si kwa sababu umekosa jambo fulani la msingi?
 
Ni wanafunzi wapatao 14,000 wajiunga rasmi na vyama pinzani kwasababu za kutotendewa haki katika mgawanyo wa mikopo kwa kuwawezesha kujiunga na elimu ya chuo kikuu.

Ni baada ya Bodi ya mikopo kuwatangaza Rasmi kwamba hawatapewa mikopo kwasababu mbalimbali zikiwemo za ufinyu wa bajeti, wana uwezo wa kujigharimia masomo yao, udanganyifu ulifanyika katika kujaza fomu zao za mikopo, nk. Na uwamuzi huo umefanywa na wahusika hao kwa kudai kwamba chama tawala kimeshindwa kutimizia haki yao ya msingi ya kukopeshwa pamoja na kuwa na vigezo vyote.

Chanzo: wanafunzi wenyewe.

Kumbe kuna Vijana ambao bado walikuwa hawajaamia CDM? Uwazi ni kuwa ukiwa mwanachama wa CCM mambo yafuatayo yanakupata..
  1. Upungufu wa kufikiri na kujenga hoja.........
  2. Uropokaji na mipasho....
  3. Unazeeka kabla ya siku...kimawazo na kimwili mtazame Nape
  4. Unakuwa na mawazo ya uwizi na kifisadi.....
  5. Unapoteza uwezo wa kusoma majira na nyakati....
Sasa kama kuna kijana mwenye akili timamu na mwenye machungu na mzalendo wa kweli ataamia CDM...............
 
Back
Top Bottom