commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
Nikweli hata mie nimewaona na nikabaki na kicheko tu.....Hawa wote njaa zinawasumbua tuTaarifa ya habari chanel Ten,sasa hivi viongozi wa vyama 12 vikiongozwa na paul kyara na lifa chipaka (Tadea).
wanalilia mgao wa ruzuku,na wanonekana kukumbwa na kiwewe cha vuguvugu la CDM la hivi karibuni.na wanaendeleza propaganda zilezile za CCM
Na wakati huo huo Wassira ameibukia mkutano wa madhehebu ya shia wimbo ukiwa ni uleule.
Narudia tena cdm wayapange matukio vizuri hawa wote watajirudi tu ila zile tetesi za hakuna upinzani tz na ni mapandikizi ya ccm ndo tunashuhudia ila nawalaumu na vyombo vyetu vya habari,kwanini wasiwa hoji vizuri hawa kuwa kwa maneno yao kweli wataitoa ccm madarakani while hilo ndo lengo namba moja la vyama? Yapo maswali mengi tu mazuri ili majibu yao yawaumbue wenyewe.okay waseme yote ila tunachotaka ni mabadiliko na ccm hawawezi kuyaleta na hiyo ni confermed maana mkuu amesema hawezi kumaliza matatizo yetu! Sina tatizo na reality ya statement hii ila kwa akili ndogo tu unaweza kuwaambia hivyo watoto wako hata kama ndo ni maskini wa kutupwa? National spirit inaweza kweli kuwa kubwa kwa statement kama hizi? Sh*t!Njaa mbaya sana jamani
Taarifa ya habari chanel Ten,sasa hivi viongozi wa vyama 12 vikiongozwa na paul kyara na lifa chipaka (Tadea).
wanalilia mgao wa ruzuku,na wanonekana kukumbwa na kiwewe cha vuguvugu la CDM la hivi karibuni.na wanaendeleza propaganda zilezile za CCM
Na wakati huo huo Wassira ameibukia mkutano wa madhehebu ya shia wimbo ukiwa ni uleule.
Mama Josephine.watanganyika wenzangu,walio na uchungu na taifa hili maneno hayo yawe chachu kwetu kusonga mbele kwani hii inadhihirisha ni kwa kiwango gani mishale imewaumiza adui.wakiwa bado wanatafuta dawa sisi tusonge mbele a kwa msaada wa bwana Tanganyika yetu tutaikomboa.