Vyama 12 upinzani vyajiunga na ccm v's cdm

Vyama 12 upinzani vyajiunga na ccm v's cdm

Waliiunga CCM mkono kabla ya Uchaguzi,Hata mbatia na lipumba wanahutubia mikutano wakiisema chadema,eti anayeamini chadema itakuja kushika dola aende loliondo kwa babu
Nawashauri hivi:Ruzuku wagawane wanayopata CCM,itawatosha
 
WanaJF,
CDM haishangai kwa kuwa hao hao ndio pia waliungana na kumwunga JK siku chache kabla ya uchaguzi. Mwenye macho haambiwi tazama.Watanzania wanawajua ni watu wa aina gani! Sioni kwanini tupoteze muda wa kuwajadili watu wasio na ajenda bali kuganga "njaa" na kutumika. Wananchi sasa wanajua kuchambua pumba na mchele.

Tuko pamoja mkuu tutakuunga mkono kwa hali na mali maana mmetupa tumaini jema!
 
CHADEMA songa mbele mnayopigania niyawatanzania wote tupo nyuma yenu, hao viongozi wa vyama vingine vya upinzani kama wamepewa fedha na wana neema hawayajui maisha yetu ya shida.
 
Chadema si ya kulumbana na TADEA na uchafu mwingine.......
 
I like cdm ....naamin tutapata ukomboz wa kweli kuptia cdm...viva cdm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom