Vyakula vya boarding schools, vinapunguza hamu ya ngono? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyakula vya boarding schools, vinapunguza hamu ya ngono?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sniper, Feb 24, 2011.

 1. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  WanaJF kuna ukweli gani juu ya hili, kwamba vyakula vya boarding schools huwa vinawekwa mafuta ya taa ili kupunguza hamu ya ngono kwa wanafunzi.
  Je, mafuta haya ya taa hayana athari za kiafya kwa mtumiaji. mfano, mwanafunzi anayekula vyakula hivyo kwa miaka sita (kidato cha kwanza mpaka cha sita)?
   
Loading...