COCKINGTON
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 222
- 59
Ndo hivo na Hali ikiendelea ntatafuta mtu wa kunikansel
yani siku hizi kila mwanaume hana nguvu mi ntaishije sasa
Bandugu,tukirudi kwenye uhalisia. Mdau wa kawaida kama mimi na wengine wengi humu lets say anayepiga milo yake mitatu ya kawaida ya kitanzania, atajipimiaje hizo 95g za fat zinazotakiwa?
ni kupangilia mro 2 ni hivi unajua leo gem ipo asubuhi supu ya kongolo chapat 2 mchana ugali mboga za majani kunywa maji kwa wingi sa kumi hiv konyagi ndogo ondowa msongo wa mawazo sasa kamata mtoto lazima achomoe mzigo auchunguze tena
Huu mchanganyiko ni sumu ama?
Kuna mshikaji anatumia Zanzii.
Ahsante, hata hao wasionazo walikuwa wanasema wapo vizuri....
Ndo hivo na Hali ikiendelea ntatafuta mtu wa kunikansel
yani siku hizi kila mwanaume hana nguvu mi ntaishije sasa
Tanzania ya sasa siyo ile ya miaka ya Sitini,kwa taarifa ni kwamba Tanzania ya sasa ina watu wengi sana waliofika elimu ya juu. Wanajitambua na ndiyo kupitia hao leo hii wapo mstari wa mbele kusaidia ndugu jamaa na marafiki. Mfano ni hapa JF kuna watu tunajifunza mengi mazuri japo kuna wanaojifunza mabaya pia.
Sasa 95g ya fat ulikua mfano wa kujaribu kuwakumbusha wanajamii tu jinsi gani ya kula vyakula kwa mpangilio mzuri. Hususani watu wanaonunua vitu vilivyofungwa toka madukani hasa supamaketi. Kumbuka watu wengi wenye maisha nafuu hujifanyia manunuzi ya vyakula vyao supamaketi sasa kule vitu vingi vipo kivipimo zaidi. Lakini pamoja na vipimo vyote lakini unakuta mtu anataka kula chokoleti pakiti 1 kila siku kuanzia jtatu hadi Ijumaa.
Kama ni chakula cha kupika nyumbani suala la mafuta wamapishi wengi wako makini na vipimo. Kumbuka pia wataalamu wa afya wanashauri tufanye mazoezi ili kupunguza vitu ambavyo vitakavyoongezeka ambavyo mwili hauviitaji
Uji wa shurba...
Hujui tu....Utakua na joto Kali na bht mby kwenye orodha yako hakuna anayejua kukabiliana na hilo. Kinyume chake wanafurahia hali iyo na kujiachia. You need to work on it together
Bana eeeh ndo hivoTafadhari hapo katika maandishi mekundu kuna tatizo
Kujumuisha wanaume wote sidhani kama ni sahihi.
Ameen, labda utanimalizia shida zangu....... ndo maana nikasema nitakutafuta.
Eroo mbona natukana?Sidai tukulu....
naragumenye!!!!
...
...parachichi, uji wa karanga, samli, ugali wa mtama/ulezi, mayai ya kienyeji, wali wa kuku(kienyeji), ugali wa mapumba, matobolwa live, asali wali maharage, .....shushia na guinness mbili kavu kavu !!!
Hujui tu....
Habari wanajamvi.
Mimi natokea unyamwezini ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasini kitu inakuwa kama mti mkavu.
Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.
...
...parachichi, uji wa karanga, samli, ugali wa mtama/ulezi, mayai ya kienyeji, wali wa kuku(kienyeji), ugali wa mapumba, matobolwa live, asali wali maharage, .....shushia na guinness mbili kavu kavu !!!