Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

ADAM SMITH

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
81
Reaction score
23
Habari wanajamvi.

Mimi natokea unyamwezini ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasini kitu inakuwa kama mti mkavu.

Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.
 
habari wanajamvi. Mimi
natokea unyamwezin ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na
mdarasin kitu inakuw kama mti mkavu. Kwenye mechi lazima mtoto aombe
maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili
kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.

Mchanganyiko huu huongeza pia ashki na nguvu kwa jinsia KE....!
 
habari wanajamvi. Mimi natokea unyamwezin ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasin kitu inakuw kama mti mkavu. Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.
Kloriti na Ngorotii
 
...

...parachichi, uji wa karanga, samli, ugali wa mtama/ulezi, mayai ya kienyeji, wali wa kuku(kienyeji), ugali wa mapumba, matobolwa live, asali wali maharage, .....shushia na guinness mbili kavu kavu !!!
 
...

...parachichi, uji wa karanga, samli, ugali wa mtama/ulezi, mayai ya kienyeji, wali wa kuku(kienyeji), ugali wa mapumba, matobolwa live, asali wali maharage, .....shushia na guinness mbili kavu kavu !!!
hii menu balaaaaa!!! unaweza ukarudi shamba kwa utamu wa wawa wa wa .........(nimesahau)
 
me nakula randomly sijuaigi hata kupangilia misos ya mechi koz mechi zangu za mchangani mixer ndondo
 
Mimi nachofahamu HAKUNA CHAKULA CHA KUONGEZA HIZO NGUVU ZA KIUME

Kitu cha msingi ni kuangalia matendo yako mwenyewe. Mfano kama ni mtu wa kupiga MKONO sasa nguvu zisikimbie kweli wakati unajiharibu mwenyewe. Mkono ni hatari coz hata ule karanga kilo 1 kwa siku kazi bure. Mkono ni Ibilisi mbaya sana coz unakua unauabudu. Kwa wakati unaotaka wenyewe lazima Uobey hata kama uko taiti vipi.

Pili nguvu zinakimbia kwa sababu ya kula ovyo vyakula na kupitiliza viwango. Mfano kipimo cha kula mafuta(fat) kwa mwanaume ni 95g kwa siku ,lakini unakuta watu wanakula 120g kwa siku au zaidi. Sasa haya mafuta yanaenda kulundikana kwenye tumbo,mapaja,kifua n.k. Huu ndiyo mwanzo wa kuzorotesha misuli yote muhimu inayoshirikiana na viungo vya uzazi. Mfano mwanaume usipokuwa na nguvu za miguu itakuwia vigumu sana kukamilisha shughuli hasa mzunguko wa pili na tatu. Hapa watu wanasingizia kuchoka,wakati ukweli upo wazi nguvu za miguu hakuna.

Mazoezi muhimu.Fanya mazoezi kuimarisha misuli yako hiyo hasa ya miguu na tumbo. Mazoezi yanasaidia kutoa sumu mwili hasa kwa njia ya jasho. Mwingine hujijui kwa kiasi gani mwili wako umebeba sumu ndiyo maana wataalam wakatengeneza masauna na stimu ruum kwa ajili ya kuondoa jasho. Inawezekana huna tatizo kabisa ila hiyo sumu mwili inakuzingua
 
...

...parachichi, uji wa karanga, samli, ugali wa mtama/ulezi, mayai ya
kienyeji, wali wa kuku(kienyeji), ugali wa mapumba, matobolwa live,
asali wali maharage, .....shushia na guinness mbili kavu kavu
!!!

Huu mchanganyiko ni sumu ama?
 
habari wanajamvi. Mimi natokea unyamwezin ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasin kitu inakuw kama mti mkavu. Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.

piga bamia mixer na kabichi halafu tupia na supu ya kambale ngoma inakua balaa.
 
Back
Top Bottom