Vyakula vinavyokukela

Vyakula vinavyokukela

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Kuna aina flani ya vyakula wengine tunakula tu ili tusife ila ingekuwa amri au uwezo unaruhusu hakika tusingevigusa kabisa,

Kwangu.

1:Ugali kabichi.
1:Ugali tembele.

Vingine vyote kwangu mwake tu natiririka navyo kama Wali Maharage.
 
Kuna aina flani ya vyakula wengine tunakula tu ili tusife ila ingekuwa amri au uwezo unaruhusu hakika tusingevigusa kabisa,

Kwangu.

1:Ugari kabichi.
1:Ugari tembele.

Vingine vyote kwangu mwake tu natiririka navyo kama Wali Maharage.
Umesahau na ugali mbaazi
 
Sizipendi tu mkuu, kama choroko zilikua zikipikwa home lazima chozi linitoke
Choroko na nazi kwetu zilikuwa zikipikwa wakati ule nikiwa chalii nilikuwa nafany sherehe kabisa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom