Vyakula vinavyoengeza hamu,nguvu ya kufanya mapenzi

Vyakula vinavyoengeza hamu,nguvu ya kufanya mapenzi

Swala sio kutoa sperm nyingi ni kuwa na nguvu za kusafiri mwendo mrefu,unaweza kukojoa nyingi baada ya kutumbukiza tu ukawa umechafua tu mwenzako

Waambie hawa vijana, issue ni kua na endurance.
 
Mimi naijua spinachi km hiyo kwenye picha baadhi ya watu wa mkoa wa iringa wanaita NYAMAGULUMELU yaani yenye miguu myeupe

Mnyalukolo hiyo picha mimi sijaiona, labda ni mimi tu inawezekana wengine wameiona nyamagulumelu.
 
Sitaki mniite mdini...lakini..sijapa kuona kitu chenye kuongeza Afya na kutia midadi kwa haraka sana kama tende(haswa haswa tende za Madina) kwa maziwa...hii kitu ni balaa..kokwa saba kwa siku baada wiki 1...ni maangamizi
 
10. Oysters and other shellfish....chukua hawa wajamaa fanya salad,mwagia dagaa wadogowadogo...zanzibar tunaita dagaa la kuosha....Lazima mama watoto atakufukuza nyumbani...
 
Katika Orodha wamekosekana papa wachanga kwa Lugha ya kivuvi wanaitwa Vinengwe...supu yao hawa wandugu ni matatizo
 
Vitunguu saum: tumia punje 3-4 asubuhi kabla ya kula kila siku, vitunguu maji: viwili kila asubuhi, parachichi, ndizi mbivu, karanga ie peanut, chai ya majani ya mapera, mafuta ya ufuta kwa kupaka ie sesame oil, tikiti maji na mbegu zake, mbegu za maboga, ginger, nazi. Kula kutokana mazingira na hali yako ya kiuchumi. Source-mimi mwenyewe ndo fani yangu ie Therapitic Nutritionist
 
Back
Top Bottom