Vyakula na vinywaji vilivyoadimika

mie nimemiss kula mbewa.....aka panya loooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooh
 
kwa wale wa mabibo jeshini mliosoma mabibo shule ya msingi mtavikumbuka VIPINDA NA PUMBU ZA PAKA
 
Tupia majina ya vyakula na vinywaji vilivyoadimika. Naanza: kibo gold, thekick, thebingwa, ugaliwayanga, bulga.
Hapo kwenye bold Wajad
Hiyo kitu ipo Moshi....na inabamba kinoma na nimeinywa juzi jumamosi kule kibosho
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wa Tanga
Kuna Vimto na heltho soda
Kuna miogo ya makopa
Mabumunda
Visheti aka vikokoto
Kashata za machicha ya nazi(tamu izo)
Kuna pakiti fula hivi ndogo ukikata utie ndani ya ndoo ya maji inageuka juisi tamu balaa
 
Kwa wale wa Tanga
Kuna Vimto na heltho soda
Kuna miogo ya makopa
Mabumunda
Visheti aka vikokoto
Kashata za machicha ya nazi(tamu izo)
Kuna pakiti fula hivi ndogo ukikata utie ndani ya ndoo ya maji inageuka juisi tamu balaa

wacha kabisa zamani tulifaudu bwana ndo mana tuna akili nyingi!ahhahahahahahah sio siku hizi mtoto ili aone umemletea zawadi eti begi la hannah montana au ben ten!enzi zetu katuni tulizokuwa tunazijua ni wagagagigikoko!na vyakuala vyao vya juu ya minazi!dah!
 
schweepers soda, rangi yake kama fanta orange...sijui imeishia wapi!!

sukari guru!
 
Kwa wale wa Tanga
Kuna Vimto na heltho soda
Kuna miogo ya makopa
Mabumunda
Visheti aka vikokoto
Kashata za machicha ya nazi(tamu izo)
Kuna pakiti fula hivi ndogo ukikata utie ndani ya ndoo ya maji inageuka juisi tamu balaa

ewaaa mkuu paulss hapo umenena kabisa ndo vitu vyetu chezea tanga?
 
Last edited by a moderator:

Ha haaaaa mkuu mwanagu anasoma chekechea kila nikimuuliza nikuletee zawadi gani anasema begi na saa ya ben ten,mkebe wa ben ten,big g za ben ten,kila kitu yeye cha ben ten huwezi amini ilibidi ni google na kuja kujua ni cartoon moja watoto wa leo wanaipenda vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…