Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,436
Hakika dawa zipo mkuuDawa za asili ukipata mtu anayezifamu vizur ni Ngumu sana kuumwa umwa ovyo uwo mlenda poli ni dawa kuna mzee alishawahi Nambia unapunguza pia atari ya kupata sukari
Na kuna aina flani ivi ya majani nayo yapo kama mlenda ukitafuna yanakua kama mlenda wanatumia kutolea Sumu ya nyoka mwilini kuna uyo Bibi alimtoa ndugu yangu sumu kweny mguu yale majani Ndugu yangu alikua akipakwa kweny mguu yalikua yanavuta mguu sana had unaona mguu unacheza cheza
bahati mbaya sana alifariki 2018 ila Ndugu yangu alifanikiwa kupona
awa wazee wetu wa vijijini wengi sana wanajua dawa ni vile tu tunawapuzia
Na kuna majani flani ivi yapo kama ferni plant yanapenda sana kuota katika ya vichaka ata apa Dar yapo nimewah yaona yale majani ni dawa ya kuponyesha vidonda vinavyotokana na Mkanda wa jeshi(moto wa Mungu) unatwanga afu unapaka kwenye Donda inasadi sana kukausha yale madondaHabari zenu wakuu??
Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake
Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame potea au wengi hatuya jui kuto kana na technologies development/mazingira tuliyo kulia
Kiukweli ni kwamba hizi dawa zipo na Zina fanya kazi vizuri kuliko hata hizi za hospital's tulizo zizoea na kuziamini zaidi
Na Zina mchango mkubwa kwenye maisha yetu japo hazivumi na kuaminika sana
Na zifuatazo ni moja ya dawa ambazo Mimi mwenyewe nime wai zitumia kutibu magonjwa niliyo wai kutana nayo baada ya kushindwa kutibiwa hospital
1.baada ya kusumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa mda mlefu Kuna mzee alinishauri nitumie mlenda wa bamia/poli kwa kunywa kama uji/bila kitafunwa
Nilianza kujiskia vizuri ndani ya dakika tano baada ya kunywa na mpaka Sasa nimepona Nina miaka mi wili mzima kabisaa
2.nilikamatwa na ugonjwa wa bawasiri/uvimbe Sehemu ya haja kubwa
nilipo enda kwa doctor alini ambia huo ugonjwa dawa hana na matibabu yake ni operation na operation yake ni India nilishangaa Sana
Lakini Kuna MTU aliniambia kula Sana matunda kama matango, matikiti,ma chungwa,nk kwa mda wa wiki moja tu utapona
Nilipo fanya hivyo nilipona kabla sja kamilisha wiki
3.kuna mtoto wa jirani yangu 7 to 8 yrs alisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi kukaka maa/kukauka/kutoa magamba/ukavu wa ngozi kwa mda mlefu yapata 4 years
Kwa bahati nzuri Kuna mzungu/mjeruman nilikuwa nafanya nae biashara alikuwa ana itwa Bora
alipo tembelea nyumbani kwangu alimuona yule mtoto wa jirani akicheza na mwenzie pale nyumbani
bwana Bora baada ya kumkagua alisema huo sio ugonjwa isipo kuwa ni upungufu wa vitamins hivyo aka shauri mtoto huyo kila mlo awekewe fruits/matunda
Nili mwita baba yake yule mtoto/jirani
tukiwa wote na mjeruman yule akapata maelekezo akafuata haikupita miezi sita yule binti ngozi na nywele zake zilianza kuludi kwenye uharisia wake na mpaka Sasa yuko sarama kabisa
4.kuna ile Hari ukitembea mda mlefu hasa kwa watu wa Nene unaanza kujiskia msuguano mapajani mithili ya vidonda vinavyo suguana
na huambatana na harufu mbaya unapo kaa au kupumzika ukiwa umetanua mapaja hiyo ni fangasi
Baadhi huamua hata kuvua nguo za ndani ili kuu epuka msuguano huo watembeapo kwa mguu umbali mlefu
Sasa wiki Jana tulikuwa hukoo mbeya uyole unaenda mbele ilee Barbara ya tukuyu unaikuta isyonje unakatisha kushoto unaikuta igoma kwa mbelee Sana unaikuta kituro/hifadhi ya kituro
Sasa kwa mbele zaidi kuna Sehemu inaitwa mwambwalo kwa wa wanji na wakinga huko
ukiwa huko milimani una weza kuliona bonde la usangu Kama ziwa kuubwa Sana
Maeneo hayo Kuna vilima vingi na. Bara bara si rafiki
Sasa nilikuwa na business partner wangu huko ni chibonge aliteseka Sana na ile Hari ya kutembea umbali mlefu na zile panda shuka za vilima
lakini tulipo fika kwa mwenyeji wetu alimwangalia jamaa yangu chibonge ana vyo tembea huku katanua miguu akacheka
Akampa pole akachuma rimao akalikata akampa bwana chibonge akasema kamua maji ya rimao hiri Kisha uya pake maeneo hayo yanayo kuuma yatauma ila baada ya hapo uta kuwa sawa
Baada ya chibonge kupaka kwa taabu aka mpa mafuta ya mgando aka mwambia ayapake ilinkuweka uraini au utelezi mapajani kuepusha msuguano
akamwambia una fangasi mapajani bwana bonge utajipaka rimao siku tatu utakuwa sawa
Baada ya kumaliza Mambo yetu tukarudi mjini
Nime mpigia simu chibonge leo hasubuhi kumjulia Hari
Cha ajabu ananiambia baada ya kutumia rimao kupaka yuko sarama Sasa hivi na kina chonmhakikishia usarama anadai Kuna harufu alikuwa ana iskia akikaa Kama uvundo imetoweka
Ndipo Nika gundua kwamba Kuna siri kubwa kwenye miti mimea na matunda yake juu ya afya zetu na uhai wetu
Sasa nawewe tuambie ulitumia dawa gani ya asiri ulipo ugua ugonjwa gani??
Pengine kunamtu ana subuliwa na tatizo ambalo una experience nalo ukamsaidia karibu..View attachment 2967264View attachment 2967265View attachment 2967266View attachment 2967267View attachment 2967268
Shida inakua mazingira uliyopo mfano dawa Nyingi nilioneshwa nikiwa Vijijini afu ata kupiga picha mtu unasahu kwa Dar ni Ngumu sana kupata mapori yenye dawa za Asili na ata uki ingia Gogle utaftie picha ya uwo mimea hukuti kwahyo soloution had uwepo mazingira yenye upigie picha Round hii nikienda vijijini lazima nikapige ilo Dawa la kufungua uzazi wa wanawake watu walete ushuhuda apaMngekua mnaweka picha ya mmea au tunda na matibabu yake mambo yangekua mazuri sana
Safi sana, watu kama wewe nmatakiwa kuishi maisha marefu ili duna iwe sehemu salama ya kuishi.Shida inakua mazingira uliyopo mfano dawa Nyingi nilioneshwa nikiwa Vijijini afu ata kupiga picha mtu unasahu kwa Dar ni Ngumu sana kupata mapori yenye dawa za Asili na ata uki ingia Gogle utaftie picha ya uwo mimea hukuti kwahyo soloution had uwepo mazingira yenye upigie picha Round hii nikienda vijijini lazima nikapige ilo Dawa la kufungua uzazi wa wanawake watu walete ushuhuda apa
kama mnafu mwanamke yoyote yule mwenye Shida ya Uzazi haruhusiwi kabisa kula hii kitu ata kwa Bahati MbayaSafi sana, watu kama wewe nmatakiwa kuishi maisha marefu ili dunie iwe sehemu salama ya kuishi.
You make a world a better place. Kongole
Tunasubiri hizo dawa Ndugu, Mungu awe pamoja nawe kwa hekima ulizojaliwa Kaka.Shida inakua mazingira uliyopo mfano dawa Nyingi nilioneshwa nikiwa Vijijini afu ata kupiga picha mtu unasahu kwa Dar ni Ngumu sana kupata mapori yenye dawa za Asili na ata uki ingia Gogle utaftie picha ya uwo mimea hukuti kwahyo soloution had uwepo mazingira yenye upigie picha Round hii nikienda vijijini lazima nikapige ilo Dawa la kufungua uzazi wa wanawake watu walete ushuhuda apa
Mnavu una changamoto gani kwa Ke mwenye shida ya uzazi Mzee Baba?kama mnafu mwanamke yoyote yule mwenye Shida ya Uzazi haruhusiwi kabisa kula hii kitu ata kwa Bahati Mbaya
kwa mujibu wa aliyetufundisha unauwezo wa kuvuruga mfumo wa uzazi kwahyo kama mwanamke ana Shida ya Uzazi anakua ameongeza Tatizo liwe kubwa zaidi pia kama mtu ana kinga za mwili una uwezo wa kushusha Nguvu za ile Kinga ya mtu kiufupi mnafu sio Mboga Mnafu ni Dawa ambayo ina uwezo wa kufanya kazi in both way phisical na SpirtualityMnavu una changamoto gani kwa Ke mwenye shida ya uzazi Mzee Baba?
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
View attachment 2971818Habari zenu wakuu??
Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake
Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame potea au wengi hatuya jui kuto kana na technologies development/mazingira tuliyo kulia
Kiukweli ni kwamba hizi dawa zipo na Zina fanya kazi vizuri kuliko hata hizi za hospital's tulizo zizoea na kuziamini zaidi
Na Zina mchango mkubwa kwenye maisha yetu japo hazivumi na kuaminika sana
Na zifuatazo ni moja ya dawa ambazo Mimi mwenyewe nime wai zitumia kutibu magonjwa niliyo wai kutana nayo baada ya kushindwa kutibiwa hospital
1.baada ya kusumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa mda mlefu Kuna mzee alinishauri nitumie mlenda wa bamia/poli kwa kunywa kama uji/bila kitafunwa
Nilianza kujiskia vizuri ndani ya dakika tano baada ya kunywa na mpaka Sasa nimepona Nina miaka mi wili mzima kabisaa
2.nilikamatwa na ugonjwa wa bawasiri/uvimbe Sehemu ya haja kubwa
nilipo enda kwa doctor alini ambia huo ugonjwa dawa hana na matibabu yake ni operation na operation yake ni India nilishangaa Sana
Lakini Kuna MTU aliniambia kula Sana matunda kama matango, matikiti,ma chungwa,nk kwa mda wa wiki moja tu utapona
Nilipo fanya hivyo nilipona kabla sja kamilisha wiki
3.kuna mtoto wa jirani yangu 7 to 8 yrs alisumbuliwa na ugonjwa wa ngozi kukaka maa/kukauka/kutoa magamba/ukavu wa ngozi kwa mda mlefu yapata 4 years
Kwa bahati nzuri Kuna mzungu/mjeruman nilikuwa nafanya nae biashara alikuwa ana itwa Bora
alipo tembelea nyumbani kwangu alimuona yule mtoto wa jirani akicheza na mwenzie pale nyumbani
bwana Bora baada ya kumkagua alisema huo sio ugonjwa isipo kuwa ni upungufu wa vitamins hivyo aka shauri mtoto huyo kila mlo awekewe fruits/matunda
Nili mwita baba yake yule mtoto/jirani
tukiwa wote na mjeruman yule akapata maelekezo akafuata haikupita miezi sita yule binti ngozi na nywele zake zilianza kuludi kwenye uharisia wake na mpaka Sasa yuko sarama kabisa
4.kuna ile Hari ukitembea mda mlefu hasa kwa watu wa Nene unaanza kujiskia msuguano mapajani mithili ya vidonda vinavyo suguana
na huambatana na harufu mbaya unapo kaa au kupumzika ukiwa umetanua mapaja hiyo ni fangasi
Baadhi huamua hata kuvua nguo za ndani ili kuu epuka msuguano huo watembeapo kwa mguu umbali mlefu
Sasa wiki Jana tulikuwa hukoo mbeya uyole unaenda mbele ilee Barbara ya tukuyu unaikuta isyonje unakatisha kushoto unaikuta igoma kwa mbelee Sana unaikuta kituro/hifadhi ya kituro
Sasa kwa mbele zaidi kuna Sehemu inaitwa mwambwalo kwa wa wanji na wakinga huko
ukiwa huko milimani una weza kuliona bonde la usangu Kama ziwa kuubwa Sana
Maeneo hayo Kuna vilima vingi na. Bara bara si rafiki
Sasa nilikuwa na business partner wangu huko ni chibonge aliteseka Sana na ile Hari ya kutembea umbali mlefu na zile panda shuka za vilima
lakini tulipo fika kwa mwenyeji wetu alimwangalia jamaa yangu chibonge ana vyo tembea huku katanua miguu akacheka
Akampa pole akachuma rimao akalikata akampa bwana chibonge akasema kamua maji ya rimao hiri Kisha uya pake maeneo hayo yanayo kuuma yatauma ila baada ya hapo uta kuwa sawa
Baada ya chibonge kupaka kwa taabu aka mpa mafuta ya mgando aka mwambia ayapake ilinkuweka uraini au utelezi mapajani kuepusha msuguano
akamwambia una fangasi mapajani bwana bonge utajipaka rimao siku tatu utakuwa sawa
Baada ya kumaliza Mambo yetu tukarudi mjini
Nime mpigia simu chibonge leo hasubuhi kumjulia Hari
Cha ajabu ananiambia baada ya kutumia rimao kupaka yuko sarama Sasa hivi na kina chonmhakikishia usarama anadai Kuna harufu alikuwa ana iskia akikaa Kama uvundo imetoweka
Ndipo Nika gundua kwamba Kuna siri kubwa kwenye miti mimea na matunda yake juu ya afya zetu na uhai wetu
Sasa nawewe tuambie ulitumia dawa gani ya asiri ulipo ugua ugonjwa gani??
Pengine kunamtu ana subuliwa na tatizo ambalo una experience nalo ukamsaidia karibu..View attachment 2967264View attachment 2967265View attachment 2967266View attachment 2967267View attachment 2967268
Kama ni mtumiaji mzuri wa chai lakini kwa bahati mbaya majani ya chai ya kakuishia au upo mazingira ambayo majani ya chai haha patikaniHabari zenu wakuu??

View attachment 2971904
Huu mmea huwa unaota Sana kwenye makazi ya watu na hata mashambani
Mmea huu hutibu madoa madoa kwenye ngozi/mapunye
Unatakacho kifanya unachukua majani yake unachanganya na maji Kisha unaya ponda na kupaka eneo lililo athilika na ugonjwa huo