Vyakula 7 unavyotakiwa kuviepuka kula Mara kwa mara

Hakuna mtu atakuwa kijana au mtoto milele kwa kula matembele na kabeji, kiuhalisia kila chakula kinaleta sumu kwenye mwili, hata hivi unavyotushauri kula vina sumu kwenye mwili, lakini bado mwili unahitaji hivi vyakula kwa sababu vina nutrients ambazo mwili unahitaji na hatuwezi kuepuka kuvila kisa tunaogopa kuzeeka au kufa. Kinachohitajika ni kula kwa ratio ambayo inahitajika mwilini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hio ndio yenyewe Sasa mtafute tabibu yoyote atakueleza
Matabibu yaani madaktari ndo wanywa pombe waliokubuhu na wana vitambi mpka kunyoa vuzi hawawezi! Ukiwakuta bar ndo waagizaji wakubwa wa nyama choma!
Wanataka sie tusile haya madikodiko tukondeane ili watugegedee mademu zetu!
Bana eeh mie bia nyama choma siachi hata iweje!
Nchi yenyewe imejaa stress tupu uspokufa na kuzeeka kwa nyama na bia siasa na mambo ya kibongo yatakuua mapemaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...utaikwepaje final uzeeni?
acha tulewe,tunywe mpka tuzimeee.
na nyama choma tuleee.
kuzeeka utazeeka na kufa utakufa tuu.
niacheni mi nilewe nyie kuleni hizo choroko
 
Back
Top Bottom