Vitu gani hivyo mkuu? Au vile mabachela wanavyokosa!Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema
aaaarrghhh,
nimekuja spidi kali nikajua dili si unajua wengine tuko kikazi zaidi,
kumbe unaongelea mambo yetu yaleee!.
Dah msitutamanishe wengine tushazoea gemu za mchana full joto afu ndo tuwazie hizo za mida hiyo inabidi tufanye fasta tuvute ndani!
kumradhi bibie usiku wa manane sikulala mwenzio ndio natafuta usingizi nikapitiwa
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema
unaziweza kaka nikupe dili la bangi na mirungi moroni(visiwa vya comoro) kila unachopeleka kinarudi mara tano ya ulichonunua uvumilivu tu unahitajika...na kazi ni usiku meli ikiwa inafunga
Na hii pia ni Habari Mchanganyiko?
Na ukitaka raha kamili taa iwe inawaka. Chakula cha gizani hakinogi ati!
Jamani kama ni kijana jitahidi uvizoee
maana unasikia kama unapigana na lusifa na kumshinda hapo mida ya tisa...kumi nanusu
kama mzee jaribu kukumbushia very sweet......
Nawatakia safari njema