VVU vyaweza kuonekana ndani wiki 1?

ESAM

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,164
548
Naoma madr mnisaidie.

Hivi inawezekana mtu kupima VVU ndani ya wiki 1 na kugundulika kuathirika au kuwa na uhakika kwamba yuko salama?

Hii ni kutokana na mtoto aliyebakwa kuonekana kwamba hajaathirika wakati alipimwa ndani ya wiki hiyohiyo aliyobakwa.

Naomba msaada.
 
Ok dada, kumbe inawezekana na sio mambo ya baada ya miezi 3 eee.
 
Back
Top Bottom