omutimbasafi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 608
- 763
Hiyo ni side effects ya dawa. Inafanya mafuta yanajikusanya baadhi ya sehemu
hii ina maana kwamba mtu wa namna hii anakuwa ametumia dawa kwa kipindi kirefu.
Hiyo ni side effects ya dawa. Inafanya mafuta yanajikusanya baadhi ya sehemu
Ugonjwa siku zote ni siri ya mtu mwenyewe !
Kuna wengine wanatumia dawa hata mwaka mmoja au miwilihii ina maana kwamba mtu wa namna hii anakuwa ametumia dawa kwa kipindi kirefu.
Unazungumzia PreP?Ni kweli dawa hizo. Zinatolewa kwa watu walioko katika mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya VVU mfano Madaktari Baada ya kujichoma sindano, iwapo umekutana na mtu ambaye ana maambukizi
Kumbuka hata panadol zinatofuti, kuna zile unapewa Hospitali nyingi mno lakini wanunua kwa TZS 1000 na kuna zile Panadol zipo mbili tu unanunua kwa 1000TZS.kwanini kuna dawa ambazo zipo classified kulingana na uwezo wa kifedha kwa waathirika?kwa mfano dawa wanazotumia matajiri au viongozi zipo tofauti na zile za kujipanga foleni kwenye CT centers.
Kumbuka hata panadol zinatofuti, kuna zile unapewa Hospitali nyingi mno lakini wanunua kwa TZS 1000 na kuna zile Panadol zipo mbili tu unanunua kwa 1000TZS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuamini kuwa wewe ni bingwa wa suala la UKIMWI, maswali kadhaa umeulizwa lakini hujatoa majibu ya kuridhisha. Maswali ya msingi:Inawezekana umekuwa na maswali ambayo yamekuwa yakikutatiza juu ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI.
Leo nakupa nafasi ya kuuliza swali lolote juu ya mada hii. Twende kazi!
Daah. Msweet you look gd gd kwa kweli nisiposema itakuwa siyo vema na haki.Asante sana Papa Mobimba. Kazi nzuri. Big Up..... Hasa kwa kutupatia elimu hii bure kabisa.
Akikuonyesha nistue niko hapa njeUnaweza ukatuonyesha picha ya kirusi cha ukimwi?
1. Jibu liko wazi Kirusi hicho kinaitwa HIVTuamini kuwa wewe ni bingwa wa suala la UKIMWI, maswali kadhaa umeulizwa lakini hujatoa majibu ya kuridhisha. Maswali ya msingi:
1) Kuna kirusi kinacho haribu/angamiza kinga ya mwili ya binadamu kilichogunduliwa?
2) Kama kipo kimegunduliwa na nani?
3) Kama kipo kinaishi katika mazingira gani mwilini?
4) Je, kipimo cha UKIMWI kina uhakika wa asilimia ngapi?
5) Hicho kipimo kinapima nini hasa, kiasi cha kinga ya mwilini, kiwango cha virusi, au?
6) Je, kuna uhakika gani kuwa dawa za kufubaza maambukizi ya UKIMWI hazichangii kuua kinga ya mwili?
Thanks dear.... Mungu wetu Ni Fundi kweli kweli .... Tehe Tehe Tehe..... 😂😂😂😂Daah!!! Msweet you look good good kwa kweli nisiposema itakuwa siyo vema na haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata jashoTena hayo ndio yana kiwango kikubwa cha VIRUSI.
Mwanaume akiejaculate ana mweka mwanamke katika hali kubwa ya kupata maambukizi
Ukitaka kujua unafanyaje??!!Sio aina damu .. Lakini ni ukosefu wa vitu ambavyo tunaweza kuviita kama mlango wa viruses kuingia kwenye seli za mtu. Kuna watu hawana hivyo vitu(CCRK5) kwenye seli zao za damu hivyo hawapati maambukizi
Huyu Msweet huyuThanks dear.... Mungu wetu Ni Fundi kweli kweli .... Tehe Tehe Tehe..... 😂😂😂😂
Hii inanipa picha jinsi gani unawachora wale wanaojifanya wajuaji. Duh! Kweli uko vizuri.
Kiasi kidogo sana
Hakuna kipimo ambacho kipo kwa ajili ya public consumption