Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Ulichochesahau ni kwamba virus wana kaa kwenye seli nyeupe za damu ambazo kazi yake ni ulinzi na ndio maana zinauwezo wakuwepo katika mazingira yoyote ambayo inaweza kuruhusu wadudu kuingia mwilini
Sio kubana ila ukichomoa pampu unakojo mkojo wa kawaida ili kusafisha njia ndani!Tupe mbinu namna ya kuubana mkojo mkuu.
Kama umesoma comments za baadhi ya watu kuwa kuna mtu anaitwa Deception akija hapa itakuwa shughuli, I guess huyo anaezakuwa yeye kwenye ID tofauti.Una amini kama virusi wapo hafu huamini kama kuna virus wa HIV. Nimekutumia link, soma uone picha. Sijui unataka picha za virusi wanapiga selfie. Na watu kama wewe ndio huwa mmnajazana ujinga huko mtaani. Inawezekana hapo ulipo unazo ARV zako kwenye pochi. Maana denial huwa ni hatua ya awali kwa watu wengi
Naomba aje tu....tuonyeshane umwambaKama umesoma comments za baadhi ya watu kuwa kuna mtu anaitwa Deception akija hapa itakuwa shughuli, I guess huyo anaezakuwa yeye kwenye ID tofauti.
Ila naona anakalishwa kiana.
Nashukuru kwa maelezo safi lakini nina swali juu ya namba 1 hapo juu:-
Je ni maambukizi yapi unayomaanisha?maana umeongea lugha ya kitaalamu nisiyoielewa na kama ni hospitali niombe aonane na daktari wa aina gani anaeweza kumsaidia?maana nimeshaongea na mtoa ushauri wake lakini hana msaada zaidi ya kumbadilishia dawa,pia niliongea na daktari wa kawaida nae akasema atakuwa sawa tu labda ni fangas ndio wanamsumbua na kwakuwa anatumia dawa atakaa sawa....lakini hali bado sio nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa watu wanaoleta masihara ndani ya Uzi huu na dhidi ya huyu jamaa mtalaam wetu.kichwani uko vizuri sana embu tuchekie na vikazi uko kwny mashirika ya Ukimwi
Kumbe!Propaganda tu. Hakuna UKIMWI hii dunia ni njia za watu kupiga pesa tu.
Maswali gani hujajibiwa MkuuWatanzania acheni kufuata upuuzi unaonezwa humu, mtapukutika Kama senene. Nimemuuliza maswali hajajibu hata moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli maombezi, (kuombewa) kuna ponya ngoma??
Jamaa anashangaza sana huyu.Una amini kama virusi wapo hafu huamini kama kuna virus wa HIV. Nimekutumia link, soma uone picha. Sijui unataka picha za virusi wanapiga selfie. Na watu kama wewe ndio huwa mmnajazana ujinga huko mtaani. Inawezekana hapo ulipo unazo ARV zako kwenye pochi. Maana denial huwa ni hatua ya awali kwa watu wengi
Alafu anakuja mtu anasema Uzi huu una danganya umma. Emu kama mtu anaona haumfai sianyamaze tu.1.Dalili hizi zina ashiria mambo mawili, moja madhara ya virusi kwenye nevu, lakini pili inawezekana akawa na maambukizi ya toxoplasma kwenye ubongo ndio infanya.
2.Virus vina athiri mfumo wa fahamu inawezekana kabisa hicho ndicho kilichotokea
3. Matatizo ya akili ni ya kawaida kwa waathirika. Huyo anaweza kuwa ana major depressive disorder with psychotic symptoms. Awaone Madaktari wa magonjwa ya akili watamuandikia dawa na aendelee kutumia ARV ata improve CD4 nilipanda
4. Septrin zinawasaidia wasipate aina fulani ya homa ya mapafu
Yote ni majibu sahihi usikanushe hiyo Mkuu.Kwenye kunyonya ni sio maziwa yana virusi, la hasha
Bali ni kuwa mmama hashauriwi kunyonyesha mtoto mwenye meno kwani anaweza kumng’ata akamuambukiza
Still hii ni rare case
Wapo wa namna hiyo ambao kazi yao ni kukatisha morali, hawajui kama wengine mioyo ilisha ota kutuAlafu anakuja mtu anasema Uzi huu una danganya umma. Emu kama mtu anaona haumfai sianyamaze tu.
Sent using Jamii Forums mobile app