Obuntu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 510
- 34
Sasa itafikia wakati VUVUZELA ~ TiGO
what?
Sasa itafikia wakati VUVUZELA ~ TiGO
Lilyflower my dear, jabulani means happiness...put in context mpira unotumika huko south umewaletea wengie happiness, ndipo ukabatizwa jabulani
Ngoja leo nikamtesti waifu kwa kumuita vuvuzela. Msiponiona hapa jamvini kesho mjue mambo yameshaharibika...........
hata humu JF kuna maVUVUZELA kibao! kuna vuvuzela moja limeingia forum ya JF DOCTOR linalazimisha hata wagonjwa wajadili SIASA hospitali.
...ha ha, yaani umuite Vuvuzela bila sababu? Goodluck bro.
Mimi nimeamua kununua la ukweli ukweli, akianza tu kelele zake nalipuliza.....'vuuuuuuuuuuuuu!'
Wanawake wengine kelele zao ni kama za wale mbu wa maskioni, hata uwa ignore vipi unakereka tu!
Ngoja leo nikamtesti waifu kwa kumuita vuvuzela. Msiponiona hapa jamvini kesho mjue mambo yameshaharibika...........
[SIZE=3 said:Mbu[/SIZE];960273] yaani ingekuwa inawezekana, kila baada ya miezi sita ningekuwa na renew certificate!.. (I hope mijitu haita ni quote vibaya)
...Mimi nimeamua kununua la ukweli ukweli, akianza tu kelele zake nalipuliza.....'vuuuuuuuuuuuuu!' :director: Wanawake wengine kelele zao ni kama za wale mbu wa maskioni, hata uwa ignore vipi unakereka tu!
ni kumkosea mkeo adabu kumuita "vuvuzela" na nyie mnao waita wake zenu hivyo lazima hamna mapenzi nao, kama una mapenzi na mkeo hata awe na kelele kiasi gani hutozisikia kwani hizo kelele badala ya kuwa karaa zitakeuka kuwa kiburudisho...
Nyie mna waona wakezenu kama mavuvuzela kwa kuwa upendo ndani ya nyumba hakuna,laiti ungekuwepo usinge muona kuwa ana kelele.
Jaribuni kutafuta suluisho la matatizo yenu kwenye nyumba na siyo mna ya kimbia kwa kwenda bar kunywa na kuanza kusema wife ana kelele kama vuvuzela..
Kwanza nyie mnao waita wakezenu mavuvuzela ina wezekana nyie ndio wale wanaume mnao fungwa na wake zenu, maana wife ana kujulisha majukumu yako nyumbani una muona kama vuvuzela.
Siku hizi bongo 40% ya wanaume walioko kwenye ndoa wana wategemea wake zao kwa kila kitu.sasa tusubiri kuolewa kabisa.
ubarikiwe kwa post yako murua mganyizi
Ni kumkosea mkeo adabu kumuita "vuvuzela" na nyie mnao waita wake zenu hivyo lazima hamna mapenzi nao, kama una mapenzi na mkeo hata awe na kelele kiasi gani hutozisikia kwani hizo kelele badala ya kuwa karaa zitakeuka kuwa kiburudisho...
Nyie mna waona wakezenu kama mavuvuzela kwa kuwa upendo ndani ya nyumba hakuna,laiti ungekuwepo usinge muona kuwa ana kelele.
jaribuni kutafuta suluisho la matatizo yenu kwenye nyumba na siyo mna ya kimbia kwa kwenda Bar kunywa na kuanza kusema Wife ana kelele kama vuvuzela..
Kwanza nyie mnao waita wakezenu mavuvuzela ina wezekana nyie ndio wale wanaume mnao fungwa na wake zenu, maana wife ana kujulisha majukumu yako nyumbani una muona kama vuvuzela.
Siku hizi Bongo 40% ya wanaume walioko kwenye ndoa wana wategemea wake zao kwa kila kitu.Sasa tusubiri kuolewa kabisa.
...hehehe, yaaani kabisaa uliamua kuzima moto kwa petroli? Ha ha ha...