Adamu na hawa katika shamba la edeni walikuwa uchi na maisha yalienda kama kawa. Walipotenda dhambi tu, wakajikuta na aibu na kutafuta matawi. Tunavaa nguo kwa sababu tuna dhambi..... Ni vema tujiachie na mavuvuzela yetu, ni ishara ya uwazi na usafi wa asili. Mnaonaje?