Vurugu za UKAWA Bungeni siri yafichuka. Lowassa, Maalim Seif wahusishwa

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
DSC00702.jpg
 
Tatizo letu watanzania hatupendi kuambiwa ukweli,tunapenda kudanganywa tu.Tumekuwa kama MBAAZI zilizokosa maua basi kila siku kusingizia jua,ilhali mvua zinanyesha za kutosha.Aliyeandika hiyo mada ningekuwa Waziri wa Habari na michezo ningewauliza maana halisi ya kuandika alichoandika.
 
Hii ni siriwazi kwani ni punguani tu asiyeelewa kuwa Lowassa yupo nyuma ya kila siasa chafu Tanzania tokea atemwe na Kikwete uwaziri mkuu.

Hiyo ndiyo ukisikia "atakufa nacho kijiba cha roho".
Siku hizi haupo jikoni baada ya ndugu yako kumaliza muda wake; Naona kuna vijana wapya, akina Barbadosa na wenzie.

Anyways, endelea Kusimamia shamba la MANANASI huko Msoga.
 
Hii ni siriwazi kwani ni punguani tu asiyeelewa kuwa Lowassa yupo nyuma ya kila siasa chafu Tanzania tokea atemwe na Kikwete uwaziri mkuu.

Hiyo ndiyo ukisikia "atakufa nacho kijiba cha roho".

Zama hizi mjipange! Mlizoea vya bure kwa mkwere.....mnachekacheka/mnajifanya kusifia.........mnapewa ubalozi sijui wapi......Sasa inabidi mjifunze...kwa Magufuli..mtakula kwa jasho...na miaka kumi si haba! Waliokuwa wanaimba humu kwamba wengine wataisoma number..naona upepo umebadilika! We live in interesting times indeed! By the ay akina Hawa Ghasia, Sofia Simba, Mary Nagu et al..wamepotelea wapi? Aahhhhh......Magufuli yaani wanyonge wa nchi watakutaka!
 
Ndio porojo za pale Lumumba? Hoja ziko wazi, mbinu zenu chafu mnataka kuzificha kwa TBC. Poleni
 
Zama hizi mjipange! Mlizoea vya bure kwa mkwere.....mnachekacheka/mnajifanya kusifia.........mnapewa ubalozi sijui wapi......Sasa inabidi mjifunze...kwa Magufuli..mtakula kwa jasho...na miaka kumi si haba! Waliokuwa wanaimba humu kwamba wengine wataisoma number..naona upepo umebadilika! We live in interesting times indeed! By the ay akina Hawa Ghasia, Sofia Simba, Mary Nagu et al..wamepotelea wapi? Aahhhhh......Magufuli yaani wanyonge wa nchi watakutaka!

Nnaona ulikuwa mpinzani sasa umebadilika na kuwa mfuasi wa Kikwete. Au umesahau kuwa Magufuli ni chaguo la Kikwete?
 
Back
Top Bottom