Generalkaduma
Member
- Apr 29, 2011
- 20
- 5
Polisi wameua raia, Kuna fujo kubwa sana inaendelea hapa sirari kati ya polisi na raia.
Polisi wamemuua kijana mmoja anayeitwa Tandika Ryoba Moserega wananchi wamechachamaa ni hapa sirari mpakani na Kenya.