Vurugu za polisi mpaka wa Sirari

Vurugu za polisi mpaka wa Sirari

kamanda molembe tunasikia mh john heche (bavicha ) yuko area?!
 
Polisi wamemuua kijana mmoja anayeitwa Tandika Ryoba Moserega wananchi wamechachamaa ni hapa sirari mpakani na Kenya.

kamanda tunasikia john heche mwkt bavicha ameishaingia area?
 
general kaduma tafadhali sana ni pm chondechonde nina ishu muhimu
 
Polisi wamemuua kijana mmoja anayeitwa Tandika Ryoba Moserega wananchi wamechachamaa ni hapa sirari mpakani na Kenya.

Tandika atakuwa mwl huyu, tulikuwa naye udsm miaka ya 2006-2009 akisoma B.A. Education. Alikuwa mwamaharakati. lkn yeye alitambulika kwa Sijovelwa Tandika

nini chanzo? polisi aliyefundwa hatumii risasi bila sababu ya msingi, lzm kuna tatizo tu hapo limetokea
 
Hadi sasa walikufa wamefika wawili

wapuuzi nyie, tangu saa tano mmerusha hbr hii lkn hamsemi chanzo cha vurugu hizo ni nini? mnafurahia kutaja idadi ya waliokufa tu? leteni chanzo cha taarifa usikute waliouwawa walitaka kupokonya silaha kama kimanzichana.
 
Back
Top Bottom