Something is wrong somewhere here,and actions has to be taken very quicly by the Sequrity Forces before this situation worsens.Kwa nini kila jambo likitokea kimbilio liwe ni kuchoma makanisa,je adui wao alikuwa humo Kanisani,kama hakuwamo wanatushawishi vipi kwamba huyo kikojozi aliyekojolea Msahafu alikuwa ametumwa na kanisa..?? Nasema hivyo sababu hata kama aliyetenda kitendo hicho ni mkristo Lakini bado hainiingii akilini kama wahuni tu(wachomaji) wanaweza kuingilia uhuru wa kuabudu nchini kwetu kwa matukio yanayofanywa na wahuni wenzao(kikojozi na wachomaji moto).Na tutajuaje kama huyo kikojozi hajatumwa na wahuni haohao ili wakamilishe dhamira yao.God bless my beloved Land Tanzania..