Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

sitaki kukumbuka nyakati zile, hasa maiv ya yule mama na sauti ya mkuu wa wilaya akitangaza kifo cha mshkaji alisema hivi, 'mtoto akililia wembe mpe ajikate, vijana mmeenda kuchezea wembe mmejikata mmempoteza mwenzenu kwa upumbavu wenu' RPC utawaletea maiti ya mwenzao waje waione kabla ya mazishi yake' aisee ni bahati familia iliona si busara, nyakati zote mwili ulikua kama umepata ganzi hivi.
.
.
miaka michache imepita sasa nimegundua mwanaume akikaa mwenyewe kwa muda mrefu anakua na hasira za ajabu sana, dogo aliefariki alipigwa na slesha iliyonolewa kama jambia.. huku wa lyamungo amechinjwa kwa seng'enge.
.
.
kisa uhasama ambao tumeukuta toka kitambo, pale nahisi umachame na ukibosho umo ndani ya zile shule, umbwe tuliona ufahari sana kukuta viti vya shule ya lyamungo tumeviiba na tunavisomea.
.
.
mkuu wa wilaya akasema nimeskia skia kuna viti vinasababisha haya sasa WANAUME LETENI KITI KIMOJA TUWAKABIDHI KAMA ALAMA YA USULUHISHI, likapikwa pilau shule tule na lyamungo, wakaja viongoz wa lyamungo wadau wanataka watie sumu kwenye chakula, mara wawafungie ndani ya darasa wapige ambush,
.
.
unapigwa wimbo wa shule mtu anaimba kwa hisia, kama vile anaitetea nchi yake!
.
.
Mr financial asante kwa kumbukumbu, apumzike kwa Amani mwana Umbwe mwenzetu na Mwanalyamungo, Mola atusamehe kwa dhambi zile, ilikua ni mbaya sana yale mambo!
 
Hii imenisisimua, walikua zaidi ya magaidi haki
 
Duh kaka

Yani nimejikuta katika hisia kali ndani yangu baada ya kusoma huu ujumbe. Wengine wanasema laana za vita za wamachame na wakibosho pia inachangia hizi shule kuwa na bifu namna hii..(maybe yes, maybe not)

Kule mpakani kati ya umbwe na hai..kuna sehemu niliona shimo ambalo wakibosho walichinjwa na mangi wa Machame then kuzikamwo kwenye shimo (miaka ya vita ya kibosho machame)

Yani nimekuwa mtu mzima naona ni upumbavu gani vijana tulikuwa nao kipindi kile...hadi wenzetu wanakufa, nafikiria maumivu ambayo hizo familia wanazo hadi sasa

Ile sauti ya uchungu ya yule mama hadi leo ipo kichwani mwangu... naumia sana, naumia kweli mkuu

Daa
 
Dah aisee umenikumbusha mbali sana kipindi hicho nilikua form 3. Ila kuweka kumbukumbu vizuri hiyo ilitokea 26 May 2009 na siyo August. Na kuhusu huyo aliyezungushiwa seng'enge sidhani kama alifariki maana tungetangaziwa shuleni. Nakumbuka huyo mwanafunzi wa Umbwe aliyefariki alipigwa kama mwizi uwanja A pale. Na hiyo siku ilibidi tukeshe tukiwasubiria Umbwe waje. Dah ile siku ilikua kama jeshi sipatii picha Umbwe wangekuja usiku ule ingekuaje maana tulijiandaa kama jeshi. Tulikusanya mawe, mafyekeo na mipini. Tulijigawa magroup matatu geti kubwa, geti dogo na katikati ya uwanja. Yaana nia ilikua Umbwe wakitokea sehemu yoyote wanapigika na tulipeana signature kabisa ukiulizwa "Nyeto" unajibu "Ujinga" ukishindwa kujibu unakula kichapo maana utakua sio wa Lyamungo. Dah sitaisahau ile siku, ni stori ndefu kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuwa May ilikua Tarehe 21&22 August. R.I.P Ayubu Talaka.
 
Back
Top Bottom