ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
Mjini Mbeya matukio ya upigaji Nondo yameibuka tena, askari wawili wa FFU wamepigwa nondo na mmoja amefariki dunia na mwingine yupo hospitali.
Sasa ni mshikemshike maana shughuli zote za maendeleo saa tatu zinafungwa maana amani imepotea
vijana hawana ajira banatunaomba selikali iludishe ulinzi wa sungusungu mana tuendako sasa usalama unatoweka mwisho watanza kuja majumbani.tatizo ni lushwa mana wakipelekwa asubuh kituoni jiön wameshatoka.